Baada ya kuzoea kufanya mapenzi kuna uwezekano wa kuacha kabisa?

Wadau naomba mnisaidie mawazo yenu kwa jambo hili.
Kama mtu tayari ameshawahi kushiriki mapenzi mara nyingi na amezoea, je kweli inawezekana kuacha kabisa kwa maamuzi yake mwenyewe?
Ukweli ni kwamba wakati mwingine hisia zinakuja ghafla, mwili unahitaji bila hata kupanga. Ndiyo maana najiuliza:
Je, tamaa au hamu ya mwili inaweza kufutika kabisa?
Kuna mtu aliyewahi kuacha kwa miaka kadhaa baada ya kuzoea?
Ni njia gani zinafanya kazi kweli?
Naomba uzoefu wa kweli na ushauri wenu, hasa waliowahi kupitia hali kama hii.

Wakuu karibuni 🙏🙏
Kula vizuri na ushibe then Fanya mazoezi mpaka utoke jasho Yani mpaka mwili useme basi kutwa mara mbili au tatu Kwa siku kama dozi

Afu uone kama utawaza Cha mwanamke, Wala upuuzi kama huu hutaweza kuuleta hapa,

Unaweza vuka hata mwezi bila ya kusimamisha mb..o..o, Wala kuwaza wanawake, mpaka mpenzi wako anayekuchunaga pesa atakusahau na wewe utamuona wa nini Yani hisia za kijinga zinapungua au zinakwisha kabisa

Fanyeni mazoezi ya mwili na viungo yanasaidia sana.
 
Asante kaka 🙏mazoezi tayali nafanya japo wakati mwingine hua na kosa nafasi kulingana na majukumu
 
Back
Top Bottom