ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #21
Amen mtumishi SharobaloTubu na ulejee kwa muumba wako, hakuna linaloshindikana kwake.
Kula vizuri na ushibe then Fanya mazoezi mpaka utoke jasho Yani mpaka mwili useme basi kutwa mara mbili au tatu Kwa siku kama doziWadau naomba mnisaidie mawazo yenu kwa jambo hili.
Kama mtu tayari ameshawahi kushiriki mapenzi mara nyingi na amezoea, je kweli inawezekana kuacha kabisa kwa maamuzi yake mwenyewe?
Ukweli ni kwamba wakati mwingine hisia zinakuja ghafla, mwili unahitaji bila hata kupanga. Ndiyo maana najiuliza:
Je, tamaa au hamu ya mwili inaweza kufutika kabisa?
Kuna mtu aliyewahi kuacha kwa miaka kadhaa baada ya kuzoea?
Ni njia gani zinafanya kazi kweli?
Naomba uzoefu wa kweli na ushauri wenu, hasa waliowahi kupitia hali kama hii.
Wakuu karibuni 🙏🙏
Asante kaka 🙏mazoezi tayali nafanya japo wakati mwingine hua na kosa nafasi kulingana na majukumuKula vizuri na ushibe then Fanya mazoezi mpaka utoke jasho Yani mpaka mwili useme basi kutwa mara mbili au tatu Kwa siku kama dozi
Afu uone kama utawaza Cha mwanamke, Wala upuuzi kama huu hutaweza kuuleta hapa,
Unaweza vuka hata mwezi bila ya kusimamisha mb..o..o, Wala kuwaza wanawake, mpaka mpenzi wako anayekuchunaga pesa atakusahau na wewe utamuona wa nini Yani hisia za kijinga zinapungua au zinakwisha kabisa
Fanyeni mazoezi ya mwili na viungo yanasaidia sana.
Hata najua basiMwanamke? Inawezekana?
SaafiInawezekana kila kitu ni maamuzi yako na kuheshimu maamuzi yako, ni jambo ambalo lipo kabisa ndani ya uwezo wako.
Kama binadam ukishindwa kujicontrol huna tofauti na kuku.