Baada ya kwenda Dodoma kikazi ameanza dharau “kama zote”

dracular

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
769
Reaction score
1,069
Habari za majukumu wana jf..

Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa..

Back to the point..

Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa.

Kilicho nifanya nije jukwaani hapa muda huu ni kuhusu tabia za huyu mwenzangu ambazo ameanza kuzionesha takribani kwa miezi miwili sasa.

Mi kwasasa nipo Dodoma kikazi na mwenzangu nimemuacha Dar ila tabia yake ndo inaniacha hoi.

Naweza piga simu hata missed calls 8 na hapo nimepiga asubuhi ila cha ajabu akajibu saa 4 usiku tena kwa ufupi tu.

Natuma text ambazo ni za muhimu lakini hajibu wala nikimtafuta nikimuuliza kwanini hakujibu zile txt hunijibu kwa dharau na kwa ufupi tu.

Nimejaribu kujitafakari labda kuna kitu nimemkwaza lakini naona sina kosa. Nimemuuliza mara kwa mara kama kuna shida yoyote kati yetu aniambie asinifiche tuwekane wazi tu ila anadai kila ktu kipo poa tu wakati naona dharau zinazidi kuongezeka siku hadi siku.

Sijathibitisha kama kapata mwanaume wa kumfanya awe hivo au la. Japo ukweli nakapenda mnoo ila kwa dharau zake aisee nimekoma.

Kitu kingine ambacho nimegundua wanawake wembamba ni wana dharau sana na wanajiona wao ndio viumbe bora kabisa hapa duniani. Huyu ni demu wangu wa tatu tunashindwana wa sampuli hii.

Don't trust a woman aisee. Leo nimeamini kuwa mwanamke anapenda awe ananyanyasika tu hapo ndo atatulia.

Siamini wa sithamini tena mwanamke.. Nlijifanya mi ndo mwema na nina mapenzi ya dhati saivi najuta tu.

Nawasilisha
 
Habari za majukumu wana jf..
Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa..
Back to the point..
Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa.
Kilicho nifanya nije jukwaani hapa muda huu ni kuhusu tabia za huyu mwenzangu ambazo ameanza kuzionesha takribani kwa miezi miwili sasa..
Mi kwasasa nipo dodoma kikazi na mwenzangu nimemuacha dar ila tabia yake ndo inaniacha hoi..
Naweza piga simu hata missed calls 8 na hapo nimepiga asubuhi ila cha ajabu akajibu saa 4 usiku tena kwa ufupi tu..
Natuma text ambazo ni za muhimu lakini hajibu wala nikimtafuta nikimuuliza kwanini hakujibu zile txt hunijibu kwa dharau na kwa ufupi tu..
Nimejaribu kujitafakari labda kuna kitu nimemkwaza lakini naona sina kosa..
Nimemuuliza mara kwa mara kama kunashida yoyote kati yetu aniambie asinifiche tuwekane wazi tu ila anadai kila ktu kipo poa tu wakati naona dharau zinazidi kuongezeka siku hadi siku..
Sijathibitisha kama kapata mwanaume wa kumfanya awe hivo au la.. Japo u
Mzee mpaka uambiwe kabisa face to face kuwa umeachwa ndio uelewe??.
Embu jiongeze boss huyo demu hakutak tena.
 
Habari za majukumu wana jf..
Nimatumaini yangu mu wa zima wa afya njemaa..
Back to the point..
Ndugu zangu nimekuwa kwenye mahusiano na binti fulani kwa takribani miaka miwili na nusu sasa.
Kilicho nifanya nije jukwaani hapa muda huu ni kuhusu tabia za huyu mwenzangu ambazo ameanza kuzionesha takribani kwa miezi miwili sasa..
Mi kwasasa nipo dodoma kikazi na mwenzangu nimemuacha dar ila tabia yake ndo inaniacha hoi..
Naweza piga simu hata missed calls 8 na hapo nimepiga asubuhi ila cha ajabu akajibu saa 4 usiku tena kwa ufupi tu..
Natuma text ambazo ni za muhimu lakini hajibu wala nikimtafuta nikimuuliza kwanini hakujibu zile txt hunijibu kwa dharau na kwa ufupi tu..
Nimejaribu kujitafakari labda kuna kitu nimemkwaza lakini naona sina kosa..
Nimemuuliza mara kwa mara kama kunashida yoyote kati yetu aniambie asinifiche tuwekane wazi tu ila anadai kila ktu kipo poa tu wakati naona dharau zinazidi kuongezeka siku hadi siku..
Sijathibitisha kama kapata mwanaume wa kumfanya awe hivo au la.. Japo ukweli nakapenda mnoo ila kwa dharau zake aisee nimekoma..
Kitu kingine ambacho nimegundua wanawake wembamba ni wanadharau sana na wanajiona wao ndio viumbe bora kabisa hapa duniani.. Huyu ni demu wangu wa tatu tunashindwana wa sampuli hii..
Don't trust a woman aisee..
Leo nimeamini kuwa mwanamke anapenda awe ana nyanyasika tu hapo ndo atatulia..
Siamini wa sithamini tena mwanamke.. Nlijifanya mi ndo mwema na nina mapenzi ya dhati saivi najuta tu..

Nawasilisha
Pole
 
Mkuu unataka had nyani akwambie shamba lako nmemalza Mahindi Janjarukaa
Biga chini ikshndkana unampga na Juuu
 
Back
Top Bottom