Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Ulilea mkuu? Na vipi maendeleo yake.Yule mwanamke aliniachia kichanga cha miezi miwili tokea hapo nawachukia wanawake mpaka kaburini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulilea mkuu? Na vipi maendeleo yake.Yule mwanamke aliniachia kichanga cha miezi miwili tokea hapo nawachukia wanawake mpaka kaburini
Ulilea mkuu? Na vipi maendeleo yake.
Kweli kabisa, wakati mwingine yanavuruga sana, unayempenda hakupendi, usiyempenda anakung'ang'ania.Mapenzi yanakuwaga mabaya sometimes
Safii sana, hawa viumbe mimi huwa siwasadiki kabisa.Yupo darasa la tatu saivi namshukuru mungu nimekuza kidume changu
Kweli kabisa, wakati mwingine yanavuruga sana, unayempenda hakupendi, usiyempenda anakung'ang'ania.
Yaaap, ingawa ni kazi sana, ni kufunga na kuomba.Ni kuomba Mungu tu upate mwenye upendo sawa na wewe
Yaaap, ingawa ni kazi sana, ni kufunga na kuomba.
Sio some time mapenzi mabaya all the time hasa kwa wanaumeMapenzi yanakuwaga mabaya sometimes
Na mwanaume je akipata mwanamke mwingine anakuwaje?ogopa sana mwanamke akipata mwanamme wakukulinganisha nae umeenda
Kwa huo wema wako na mapenzi yako ya dhati, tangu uende Dodoma umeshamtumia sh ngapi? Nawashangaa wanaume wanaosema wana mapenzi ya dhati wakati hawawahudumii wapenzi wao kwa chochote mpaka wanakuja kutusumbua sie huku wa pembeni.Nlijifanya mi ndo mwema na nina mapenzi ya dhati saivi najuta tu