Baada ya kwenda Kulamba Miguu ya aliyemchukia Haji Manara, Kujipendekeza kwa GSM hatimaye Ali Kamwe kuwa Msemaji wa Yanga SC

Kwaiyo nao ni kama metl tu
 
Hapana sijatisha ila nashangaa wale Wote walionidhihaki na kusema hakuna ninachojua na sijui Kutabiri vyema siwaoni tena katika huu Uzi wangu.

Hivi Mtu ambaye ni 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' kama Mimi MINOCYCLINE naweza Kukosea au Kuandika Kitu nisichokuwa na uhakika nacho hapa Jukwaani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…