Mkuu
Daudi mchambuzi nimejaribu Kutafsiri kwa kiswahili sijuwi kama nimekosea?
Tujihadhari na Mambo 7 si ya kufanya baada ya kwisha kula.
1Kuvuta Sigara baada kwisha kula si jambo zuri. Majaribio kutoka kwa wataalam inathibitisha kwamba uvutaji sigara baada ya mlo ni kulinganishwa na uvutaji sigara 10 upo uwezekana na wa kupata Maradhi (nafasi ya kansa ni ya juu).
2. Usile matunda mara moja - Mara baada ya kwisha kula matunda baada ya chakula itaweza kusababisha tumbo kuvimba kuwa na hewa. Kwa hiyo inapendeza kula matunda baada ya saa1-2 kula chakula au kabla ya saa 1 kula chakula.
3. Usinywe chai - baada ya kula chakula kizito tumboni Kwa sababu majani ya chai hujumuisha maudhui ya juu ya Asidi. Dutu hii itakuwa na kusababisha maudhui Protini katika chakula tunacho kula kuwa ni kigumu hivyo inakuwa ni vigumu kulainisha tumbo .
4. usiulegeze mkanda wako wa kiunoni. ukiulegeza mkanda wako wa kiunoni baada ya kwisha kula, Kutasababisha matumbo mapana ya tumboni kukaza zaidi jihadhari na hiyo. Legeza mkanda uliovaa kiunoni kabla ya kula sio baada ya kwisha kula.
5. Usioge baada ya kwisha kula tafadhali. UKioga baada kwisha kula utaweza kusababisha ongezeko la mtiririko wa damu kwa mikono, miguu na mwili hivyo kiasi cha damu kuzunguka tumbo hiyo kupungua. Hii kudhoofisha mfumo wa utumbo katika Matumbo yetu.
6. Usitembee baada ya kwisha kula chakula kizito - Watu daima husema kwamba baada ya mlo kutembea hatua mia na utaishi mpaka 99. Katika hali halisi hii si kweli. Kutembea itakuwa na kusababisha mfumo wa mmeng'enyo kuwa hawawezi kunyonya lishe
kutoka chakula cha sisi tuanacho kula.
7.baada ya kwisha usilala wakati huo huo haipendezi kabisa. - chakula ulichokula ukilala kwa huo wakati huo tumbo lako hakitalainisha hicho chakula. Hivyo itasababisha maradhi katika mfuko wa utumbo wa chakula & maambukizi katika utumbo yetu.