Baada ya Lema kuomba michango ya nauli ya "Kuzunguka Dunia Nzima," Sasa kuna tisheti za "He's Not a Terrorist" ๐Ÿค”

chahali bana..hivi mmefikia kua puppets wa CIA..shida sana....We na wenzio mkishatumika mtatemwa kama big G au Condom.... The Ford Foundation and the CIA', he writes, "The CIA uses philanthropic foundations as the most effective conduit to channel large sums of money to Agency projects without alerting the recipients to their source.

From the early 1950s to the present the CIA's intrusion into the foundation field was and is huge. A US Congressional investigation in 1976 revealed that nearly 50% of the 700 grants in the field of international activities by the principal foundations were funded by the CIA (Who Paid the Piper? The CIA and the Cultural Cold War, Frances Stonor Saunders, Granta Books, 1999, pp. 134-135)."
 
Yaani aliyetupa jina la Nyumbu alitupatia.

Yaani mwenyekiti amekamatwa, yupo ndani na kapewa kesi kubwa SISI TUPO BUSY KUTENGENEZA TISHETI BADALA YA KUPAMBANA.

Watanzania ni viumbe wa tofauti sana.
 
Chahali unahangaika na vitu vidogo sana, naona ndio unatafuta njia ya kujipendekeza kwa watawala ili ukirudi wasikukamate, endelea kuhangaika na Chadema labda ndio mlango wako wa kurudia Tanzania salama.
 
Mimi ninachoshindwa kuwaelewa hawa jamaa ni kuwa, kuthibitisha tuhuma za ugaidi au kutothibitisha kunahitaji uchunguzi wa hali ya juu... Wao wamewezaje kujua kuwa mbowe sio gaidi kwa haraka hivi? Wanasahau kuwa ukiacha siasa na yeye ana maisha yake
ndugu hawa jamaa wanamuonaga mbowe kama malaika fulanihivi wakati naye anamaisha yake nje ya siasa tena ni mfanya biashara anashindwaje kuwa gaidi waache uchunguzi kwanza wameambiwa upelelezi uko tayari wanaharaka gani
 
Chahali unahangaika na vitu vidogo sana, naona ndio unatafuta njia ya kujipendekeza kwa watawala ili ukirudi wasikukamate, endelea kuhangaika na Chadema labda ndio mlango wako wa kurudia Tanzania salama.
Ndo alichobakiza, kule Twitter kanipiga tofali kisa hapend nitoe hoja asiyoipenda ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ