mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,192
- 5,743
Hivyo vyanzo vya mapato havitakidhi mapato.
Me nashauri kuwe na kodi ya kulipia pumzi kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18.
Average Pulse rate per minutes 60-100, tuchukue wastani wa 80 per minutes.
Per pulse rate mtu achagiwe Tsh 1, kwa hiyo per minutes mtu alipie Tsh 80/-
Kama huwezi hama nchi!
CCM hoyeee!!!🙌🙌🙌