Baada ya Lissu kutolewa Sero atahitajika kufanya Reforms ili kujenga Chama chake


Kwenye siasa za kimabavu asiitegemee huruma kama silaha
 
Kukaa madarakani mda mrefu kuliongoza kundi la wajinga nako ni kuwa na akili?
Kwamba kati ya kundi kubwa la wajinga kuna wenye akili sana wameoongozwa na wajinga kwa miak 60 bila kuweza kuwatoa?

Hakuna ng'ombe anaweza ongoza kundi la masai, siku zote masai ataongoza kundi la ng'ombe.

Mwenye akili siku zote huwa anapata mbinu za kuwa in control hata kama si yeye yupo madarakani.

Ukweli mchungu ni kuwa Ccm ina watu wana akili wapo in control hata kama si wao wamekaa hapo mbele.

Haiwezekani miaka 60 yote iwe ni wajinga wajinga wanawaendesha wenye akili lazima hao wenye akili wana hitilafu.
 
Unyonge hausaidii

Kawasome
Nelson Mandela
Martin Luther King Jr
Mahatma Gandhi
Patrice Lumumba

Na wengine wengi USITUMIE kigezo cha AKILI katika mapambano yanayohitaji haki na usawa

UNYONGE HAUJAWAHI KUSHINDA
 
Kwenye siasa za kimabavu asiitegemee huruma kama silaha
Sasa haya mababu anayofanyiwa, unategemea ajiimarishe vipi wakati wenye mababu wanamtrack maendeleo yake.

Labda mshauri acheze siasa za miguu miwili kama mtangulizi wake Freeman
 

Ukitaka kujua CCM wanaakili nenda leo kwenye Mkutano wao pale KAWE

Huko barabarani kumechangamka vilivyo. Mtaani kwetu zimetoka costa nne. Hapa narudi kutoka Sinza kumechangamka vibaya.
Watu wamejipanga
 
Hili linamsaidia nini Mwananchi wa kawaifa au nchi???

JF siku hizi imejaa matahira mnaojiona mna akili kubwa sana.
 
Unyonge hausaidii

Kawasome
Nelson Mandela
Martin Luther King Jr
Mahatma Gandhi
Patrice Lumumba

Na wengine wengi USITUMIE kigezo cha AKILI katika mapambano yanayohitaji haki na usawa

UNYONGE HAUJAWAHI KUSHINDA

Kutumia Akili ukiwa down sio unyonge.
Hapo ndipo watu smart wanapowashinda wajinga.

Kanuni za predators unazijua?
 
Hili linamsaidia nini Mwananchi wa kawaifa au nchi???

JF siku hizi imejaa matahira mnaojiona mna akili kubwa sana.

Pole sana Mkuu.
Kwani Lisu kukaa sero huu mwezi wa tatu inamsaidia nini Raia wa kawaida?
 
Ukitaka kujua CCM wanaakili nenda leo kwenye Mkutano wao pale KAWE

Huko barabarani kumechangamka vilivyo. Mtaani kwetu zimetoka costa nne. Hapa narudi kutoka Sinza kumechangamka vibaya.
Watu wamejipanga
Ccm linapokuja suala la siasa unahitaji akili kubwa sana kudeal nao.
 
Kwahyo unataka TAL afanye siasa za utapeli na udalali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…