Baada ya Liver na Chelsea kuchemka mechi za uefa, kwa leo nani zaidi

Baada ya Liver na Chelsea kuchemka mechi za uefa, kwa leo nani zaidi

astrologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
221
Reaction score
268
Liverpool na Chelsea walipoteza mech zao za awali za Uefa, leo nani atamuosha mwenzake?
Liverpool nawapa credit za kuvunja daraja!
 
Mambo Mengine bhana pale ni camp now kama unaweka mkeka mpe Barca wala usiwaze inter hachomoki kina Messi, dembele mjengoni liver kafa pale sembuse inter
Simdharau inter ila kama kushinda au sare atazipata akiwa Italy kwao
 
Timu yangu bila G.O.A.T shida tupu...ila nawapa credit...Barca 2-1 Inte

Liverkuku anapokea kichapo kama kawa..

Chelsea anapokea kichapo kama kawa
 
Back
Top Bottom