Baada ya Lundenga kukemea Matusi ya Mange, Wizara ya mambo ya ndani na Jeshi la Polisi latoa onyo

!
!
Hivi mtanzania ukifanya kosa ukiwa nje ya nchi, sheria zikoje? Kama hivi je huyu dada anaweza kushtakiwa.
Kama jambo lina uzito sana kwa upande wa serikali, na kama nchi aliyopo huyo Mtanzania ina "extradition treaty" (mkataba wa kurudishiana wahalifu/washtakiwa) na Tanzania, mtu huyo anaweza kurudishwa Tanzania kushtakiwa/kufungwa.

Tanzania ina extradition treaty na Marekani, hivyo Mtanzania akifanya uhalifu na kukimbilia Marekani (au akiwa Marekani na kufanya uhalifu Tanzania) na Mmarekani akifanya uhalifu na kukimbilia Tanzania (au akiwa Tanzania na kufanya uhalifu Marekani) extradition treaty inaruhusu mtu huyu kurudishwa Tanzania/Marekani kushtakiwa/kufungwa.

Nchi ambazo zina extradition treaty na Marekani hizi hapa

List of United States extradition treaties - Wikipedia, the free encyclopedia
 

!
!
Ahsante kwa msaada. Je kwa Teknolojia na privacy policies za hizi social media Tanzania imewekeza vya kutosha kwenye eneo hili? Kuwa na treaty ni jambo moja na kuwa na uwezo wa kunufaika na treaty ni jambo lingine. Tuna treaties nyingi tu na nchi mbalimbali ila hatunufaiki kwa sababu ya teknolojia. Swali langu ni je kuna tukio kama hili la huyu dada lishawahi kuamuliwa mahakamani, na matokeo yake yalikuwaje? Tuna precedence katika eneo hili au ndio zile blah blah za kawaida?
 
Temu niyule dada Yuko kipindi cha Mimi na Tanzania kiko channel ten

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kutukana(kuchamba)ingawa lina maana yake nzuri tu limebadilishwa.Siku hizi imekuwa sifa kutukana!jamii inakwenda wapi sijui!
 


Kila kosa lina Uzito wake.@Kiranga, Kaeleza kuhusu Extradition{Kubadilishana wahalifu}.

Hii inahusu serious crimes zinahatarisha national security eg Espionage n.k

Sheria ya mitandao pamoja na ubovu wake haina muda muda mrefu tangu ianze kutumika.So far hakuna precedence.
 
Hakuna mtu mstaarabu mwenye exposure anaweza kufanya hayo kwenye mitandao ya kijamii.A civilized Society itakushangaa.

Tena kutukana hadi watu wasiohusika na kudhalilisha watoto?
nakubaliana na wewe mia kwa mia.wtz tunajidhalilisha kwa kutumia mitandao vibaya badala ya kujielimisha na kunufaika. sijawahi kusikia kiliko chuo cha kutukana duniani. kwa nini tuwafanye watu nje ya tz waamini chuo cha aina hiyo kipo tz? siku zote anayetukana anadharaulika na anayetukanwa anaonewa huruma. huyo bint amewadhalilisha wazazi wake na walezi wake.
 
In one of her most recent abusive and obnoxious posts mange displayed two semi- nude chagga ladies purpotedly mocking their physical outlook! How can an african woman of tanzanian origins claiming to live in civilized america choose to use social media to insult an entire tribe? Is that how you settle scores by dragging the whole proud chaga women in your petty wars with other people. Shame on mange and shame on all her admirers.
 

!
!
Kwa maana nyingine hili ni kosa ambalo haliwezi kuamount to that point. Ahsante sana mkuu.
 
wewe utakuwa Ras Simba
 
Duh taifa liliepuka fedheha nyingine.

Nadhani alipoona hadi waganga wa kienyeji wapo bungeni akapata inspiration.

Ndio maana wengine tulisema sifa za ubunge ziwe zaidi kusoma na kuandika.

Kipimo cha akili timamu pia kiongezewe vigezo vya "Utimamu"
Vyama vingine kipimo hicho cha utimamu kinazingatiwa isipokuwa chama TWA wala
 
Tatizo mume ahhh kuolewa na wazungu ni shidaaa hakuna mmbogo angekubali mkewe kufanya upuuzi ule ni mjegeje tu anatulia tuliiii
 
Miss Tz mwambie mdogo wako aache kutukana watu mitandaoni, ilivyokuuma wewe ndivyo inavyowauma wenzio. Na kwa mange ukimchokoza jiandae kung'atwa, hata ukishtaki tayari ameshakuanika vibaya na sasa tunajua kuwa kumbe uliliwa tigo kha!!!
Hivi ulimwomba sorry richa adhia kwa kumbagua waziwazi kisa rangi yake???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…