nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Hakuna cha matusi...anawachana wabaya wake live...usije fikiri ananaandika sijui tusi gani...anasimulia uhalisia wa wabaya wake na ndio wanaita matusi a.k.a kashfahivi huwa anatukanaga nini maana mi najua matusi hayajai kurasa tatu huwa ana matusi mapya ama ni haya ya kawaida ama ni kashfa ama anasemaga nn ni wapi naweza kuta matusi yake nikaome nione na mie
Hii nchi Ina wasichana wajinga eti huyu na Wema wana wafuasi na wanawaona role model
Huyu bibi anaona kuolewa na mzungu amepanda beii sana kias kwamba anaeza kutoa shit kipuuzi...hivi yeye ana msaada gani kwa nchi hii zaidi ya kuwashauri akina mwantumu kupata mabwana wa kizungu....AF ndo ajilinganishe na MTU kama hoyce temu.
Kwi kwi kwi...sikujua kuwa JF members wengi ni followers wa binti wa Kimambi....
Kumbe mnasoma vizuuuuri
Hakuna teknolojia wala political will.!
!
Ahsante kwa msaada. Je kwa Teknolojia na privacy policies za hizi social media Tanzania imewekeza vya kutosha kwenye eneo hili? Kuwa na treaty ni jambo moja na kuwa na uwezo wa kunufaika na treaty ni jambo lingine. Tuna treaties nyingi tu na nchi mbalimbali ila hatunufaiki kwa sababu ya teknolojia. Swali langu ni je kuna tukio kama hili la huyu dada lishawahi kuamuliwa mahakamani, na matokeo yake yalikuwaje? Tuna precedence katika eneo hili au ndio zile blah blah za kawaida?
Hakuna teknolojia wala political will.
Labda amtukane Magufuli.
Ni kweli, kwani uongo? Ili sheria zitekelezwe Tanzania lazima mkubwa awe kaguswa, ndipo utaona vyombo vya dola vinachukua hatua!
!
Political will????? Aisee
!Ni kweli, kwani uongo? Ili sheria zitekelezwe Tanzania lazima mkubwa awe kaguswa, ndipo utaona vyombo vya dola vinachukua hatua
kasemaje???Kuna mtu kamtukana mange insta anaitwa Kichwa cha panzi....
Kwa ajili ya ukawa tu......teh teh tehHivi huyu mdada/mmama yuko juu ya sheria? Maana siyo mara ya kwanza kumsikia akitukana watu mitandaoni wakati sheria za makosa ya mitandao zipo wazi! Au hii sheria ya mtandao ni kwa watu gani??