Baada ya M/s Kalinda kuliza maelfu ya watu, ni nani afuata?

Baada ya M/s Kalinda kuliza maelfu ya watu, ni nani afuata?

Aggayah

Senior Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
141
Reaction score
95
Kuanzia siku ya jana, inasemekana M/s Kalinda aliamua kuzima mitambo yake ya kuchimba madini kwa kisingizio kuwa wajanja wame hack mitambo yake.

Mitambo yake ilianza kupoteza nguvu taratibu tangu juzi na hatimaye kusimamishwa rasmi jana huku ikiacha kilio kikubwa kwa maelfu ya wadau waliokuwa na hisa ktk kampuni hiyo.
Shida kubwa kwa wanahisa hao ni kwamba, hawajui hata zilipo ofisi za kampuni hii, pia hata viongozi waandamizi wa kampuni hii hawajulikani ni akina nani.

Kuna wasiwasi pia kuwa kampuni nyingine mpya (M/S LM Ltd) inayojishughulisha na uchimbaji mdogo mdogo wa madini , uenda pia nayo ikazima mitambo yake wakati wowote kuanzia sasa!

Somo: People never learn, nothing comes out of nothing.
 
Chadema inahitajika sana Bungeni......

Nyerere Julius ALIONA MBALIII sanaa
....
 
Ukweli bila msuguano moto hauwezi waka
Hiyo ndiyo kanuni ya Maendeleo
Haiwezekani tukawa na Bunge la kilakitu NDIYOOO tukapata maendeleo


Leo tunarudi kwenye Mgao wa Umeme?!!!!!
Kweli tumerogwa
 
Back
Top Bottom