johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Unajuaje kama yamepungua?Juzikati ilitangazwa na Bakwata kuwa baraza la eid halitakuwepo kwa sababu za kuhofia mikusanyiko.
Sasa baada ya taarifa ya serikali kwamba Corona imepungua je baraza la Eid litakuwepo au msimamo bado ni ule ule?
Liwepo hata kama ni kwa mtandao!
Waswahili wana kinga ya kutosha!Lengo hapa ni kuwaua waswahili
Kidume jana alikua kanisani bila barakoaLengo hapa ni kuwaua waswahili
wale vifuata upepo bakwata watachange kauli yao, hivyo wataruhusu kuwepo ili wamfurahishe mkulu
Kufunga nchi ni kosa gani kwa mujibu wa maelekezo ya kuruani au biblia.Kuishi ama kufa Kwa ajiri ya Mungu, hakuna hasara hapo!!! Ibada zifanyike zenye tahadhari kama serikali inavyoelekeza
Shida ni Kwa watu ambao hawana tumaini la baada ya maisha ya duniani, na ndio wanaoongoza Kwa kupiga Kelele nchi ifungwe
Duniani nchi nyingi tu zilizofungia watu wake, lakini mauti ameendelea kufanya kazi yake kama kawaida
Ufalme hutekwa na wenye nguvu, huwezi kuogopa kiasi cha kukimbia kifo ni upumbavu uliovuka kiwango, Mungu aspokuvuna kupitita Corona atakuvuna Kwa ajari na magonjwa mengine n.k
Kwa mujibu wa masudi kipanya, covid-19 anatembea na bisibisi mfukoni, anamaliza shughuli kwa ghafla na kutokomea gizani.Kidume jana alikua kanisani bila barakoa
karibu new memberπΉπΏπππ
Licha ya kutofungwa nchi, bado hujafa Wala kuambukizwa Corona, kuna waliofunga na bado wamekufa Kwa wingi na maambukizi ni makubwa,Kufunga nchi ni kosa gani kwa mujibu wa maelekezo ya kuruani au biblia.
Watu kama nyie mlipaswa kuwekewa mbunye kwenye mapaji ya nyuso zenu.
Itakuwa ni maajabu kama balaza halitakuwepo wakati watu wamejazana kariakoo kutafuta nguo za sikukuu ya eid, wanaohusika wafikirie tena haya mambo, watafiti athari zilizopo mpaka sasa kwa waumini, wapime maambukizi mpaka sasa kwa waumini ndiyo wajiunge kwenye mkumbo. Hili jambo Africa tumelidaka kwa pupa sana, ugonjwa inawezekana upo ila sio wakutisha kwa kiasi hichooo ambacho kinawafanya watu washindwe hata kumwabudu Mungu.Juzikati ilitangazwa na Bakwata kuwa baraza la eid halitakuwepo kwa sababu za kuhofia mikusanyiko.
Sasa baada ya taarifa ya serikali kwamba Corona imepungua je baraza la Eid litakuwepo au msimamo bado ni ule ule?
Nimekuelewa mkuu!Itakuwa ni maajabu kama balaza halitakuwepo wakati watu wamejazana kariakoo kutafuta nguo za sikukuu ya eid, wanaohusika wafikirie tena haya mambo, watafiti athari zilizopo mpaka sasa kwa waumini, wapime maambukizi mpaka sasa kwa waumini ndiyo wajiunge kwenye mkumbo. Hili jambo Africa tumelidaka kwa pupa sana, ugonjwa inawezekana upo ila sio wakutisha kwa kiasi hichooo ambacho kinawafanya watu washindwe hata kumwabudu Mungu.