Baada ya maambukizi ya corona kupungua je baraza la Eid litakuwepo?

Baada ya maambukizi ya corona kupungua je baraza la Eid litakuwepo?

Kuishi ama kufa Kwa ajiri ya Mungu, hakuna hasara hapo!!! Ibada zifanyike zenye tahadhari kama serikali inavyoelekeza

Shida ni Kwa watu ambao hawana tumaini la baada ya maisha ya duniani, na ndio wanaoongoza Kwa kupiga Kelele nchi ifungwe

Duniani nchi nyingi tu zilizofungia watu wake, lakini mauti ameendelea kufanya kazi yake kama kawaida

Ufalme hutekwa na wenye nguvu, huwezi kuogopa kiasi cha kukimbia kifo ni upumbavu uliovuka kiwango, Mungu aspokuvuna kupitita Corona atakuvuna Kwa ajari na magonjwa mengine n.k
Lakini haifai mtu kujipeleka katika maangamivu, eti kwa sababu anamatumaini ya maisha baada ya kufa.

Kama ni kweli maambukizi yamepungua basi hakuna shinda watu kufanya ibada huku wakichua tahadhari.

Lakini kama hali ni mbaya haifai watu kujumuika hata kama ni ibada, eti kwa kuwa wanamatumaini ya maisha baada ya kufa.

Huko ni kujiangamiza.
 
Nadhani umeuliza swali kama hili, kutokana na kutokuaminika moja kwa moja kwa taarifa ya serikali.

Na hii imetokana na serikali kutokuwa wawazi juu ya janga hili, badala yake mambo yamekuwa yakienda kimya kimya.

Hakuna kipingamizi chochote cha kufanyika baraza la eid, ikiwa maambukizi kweli yamepungua.

Lakini je, tunathibitisha vipi hilo ikiwa hata kauli ya serikali tunamashaka nayo?
 
Nimekuelewa mkuu!
Hahaha umeelewa nini sasa?! Nguo za sikuku ya eid zinazouzwa kariakoo ni zipi kanzu au baibui?! Au Madela?!
Baraza la eid ni nini kama kweli umeelewa?!
Watu wanachanganya kati ya Corona virus na Kolona, jana nilimsikiliza Rais alikuwa anaongelea KOLONA watu wakadhani alikuwa anaongelea Corona.
Kolona haipo ila Corona virus wapo.
 
Lakini haifai mtu kujipeleka katika maangamivu, eti kwa sababu anamatumaini ya maisha baada ya kufa.

Kama ni kweli maambukizi yamepungua basi hakuna shinda watu kufanya ibada huku wakichua tahadhari.

Lakini kama hali ni mbaya haifai watu kujumuika hata kama ni ibada, eti kwa kuwa wanamatumaini ya maisha baada ya kufa.

Huko ni kujiangamiza.

Mkuu, Kuzuia Ibada ni ujasiri mkubwa uliopitiliza kwa kiongozi yeyote, na ndiyo maana wanaokubaliana na hoja hiyo ni wachache kuliko wanaopinga uwepo wa Ibada

Kwa kawaida, Kuzuia Ibada ni kuizuia sayansi iliyojuu kuliko sayansi ya kibinadamu ambayo mara zote sayansi ya Mungu isposhirikishwa kuisaidia sayansi ndogo ya binadamu huferi vibaya sana
 
Hivyo muongozo wa viongozi wa dini unahitajika, maana wao ndio wanaojua usahihi.
 
Juzikati ilitangazwa na Bakwata kuwa baraza la eid halitakuwepo kwa sababu za kuhofia mikusanyiko.

Sasa baada ya taarifa ya serikali kwamba Corona imepungua je baraza la Eid litakuwepo au msimamo bado ni ule ule?

Tunaweza kusherehea Eid bila ya mikusanyiko kama nilivyoeleza hapa:
 
Back
Top Bottom