GE2025 Baada ya Maandamano, Rais atakuwa Mange Kimambi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Akili za machawa bana, yani wanajua kila mtu akiongea haki anataka madaraka, kwa kuwa sisiemu na madaraka ni kama mchawi na tunguli.

Watu wengine wana causes zao tu wanafanya vitu na kuendelea na maisha yao chawa!
 
 

Attachments

  • IMG_0112.jpeg
    272.6 KB · Views: 19
Baada ya Oktoba 29 Jeshi litachukua nchi kuongoza kwa kipindi cha mpito na kutupatia Katiba Mpya.
 
Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
Kwani akikabidhiwa Mwiguru au Majariwa kuna tatizo? Mtanzania yoyote mahiri anaweza kukabidhiwa nchi. Au wewe umefikira nini mpaka ukamtaja Mange.
 
Mange Kimambi ataiendesha nchi kama Instagram account.
Usishangae kwamba kuna wavimba macho wengi wanamuamini.Mange amekuwa think tank ya wajinga wengi sana.Hawajadili anachokiandika bali wanakichukulia katika face value. Hamna critical thinking.
 
Usishangae kwamba kuna wavimba macho wengi wanamuamini.Mange amekuwa think tank ya wajinga wengi sana.Hawajadili anachokiandika bali wanakichukulia katika face value. Hamna critical thinking.
Mbumbumbu wengi wa Bongo country ni wafuata mkumbo.
 
Amini amini nawaambieni, kama Samia kaweza kua Rais licha ya uwezo mdogo wa kiakili na kupembua mambo, hata Kingwendu anaweza kua Rais kwa Nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…