GE2025 Baada ya Maandamano, Rais atakuwa Mange Kimambi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sijui ila Mdude Nyangali atakua waziri mkuu
 
Reactions: Tui
Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?
Acha kuumiza kichwa, tarehe 29 October hakuna mtu atakaeandama nchi ina watu mazezeta hii wanaogopa kuvunjwa miguu na bima zao za kuunga unga. Hivi kuna wajinga wa kumpambania huyo mpuuzi Mange anaekula zake kuku USA. Lissu huyo hapo ananyea debe kuna mtu hata mmoja alieingia barabarani?? zaidi ya yule aliejifanya mjanja pale mahakamani akapigwa virungu vya kutosha. October twendeni tukatick, bongo yetu ina amani.
Za kuambiwa Changanya na Za kwako.
 
Ameandiaka upuuz sana hkn mdamano ni kutiki na kuchapa tik
 
Reactions: Tui
Chawa la Mama limeshiba pilau limekuja kututapikia humu.
 
Hebu muwe serious jamani prominent figure ni nani ambaye mtamkabidhi nchi baada ya mama yetu msikivu, mwenye utu na asiye na makandokando kurudi Kizimkazi?

Kwani ataishi milele? Na akiendelea mpaka 2030 nani atakabidhiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…