Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Ikumbukwe ya kuwa huyu Mama Maria Sarungi kazi yake kubwa ni kutumika,kutumikishwa , kutumiwa kwa njia zote chafu na mbaya kupika Majungu,umbea,uzushi,uongo,ufitini na uchonganishi.Maisha yake yanategemea atumikishwe kama mtumwa na watu wenye ajenda zao za siri kuchafua watu, kuwachonganisha na kuleta fitina. Yeye ni kama kasuku au dodoki lenye kunyonyeshwa kila aina ya uchafu.
Hayo ndio maisha yake ya kila siku,ndio shibe yake kwa ajili ya tumbo lake,ndio kuja kwake kwa mlo mezani pake,ndio pumzi yake.heshima yake ni kutumikishwa na kutumiwa .Ndio Maana hajawahi kuwa na msimamo wala kueleweka anachosimamia wala kupigania.yeye Dira yake na msimamo wake ni juu ya kuponya njaa ya tumbo lake. Kazi yake kubwa ni kuchafua viongozi wetu kwa tuhuma za uzushi, uongo na kupika majungu.kuharibu taswira za watu na kujaribu kuleta taharuki kwa watu.
Amekuwa na chuki binafsi kwa viongozi wetu wa serikali na kujaribu kwa mbinu zote kuwajengea taswira mbaya kwa jamii.kwa sasa amekuwa akitoa tuhuma za uongo, uzushi na Majungu kwa baadhi ya viongozi kwa lengo la kuwachafua na kuleta uchonganishi serikalini na hata miongoni mwa viongozi wetu ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama pasipo kuwa na ushahidi wa aina yoyote ile kiganjani pake..
Narudia kusema tena hana ushahidi wa aina yoyote ile na hata yeye mwenyewe amekiri kutokuwa na ushahidi pale watu wanapomuomba awapatie na kuwawekea ushahidi. Amekuwa ni mtu mwenye wivu na chuki binafsi. Ni mtu ambaye ameelemewa na msongo wa mawazo.pengine kwa sababu ya umri wake kuendelea kusonga pasipo kuona Ndoto zake zikitimia wala kuwa na matumaini ya kutimia. Amekuwa ni mtu wa Hovyo na mwenye kutumikia tumbo lake.ndio maana amekuwa mtu wa kubadilika badilika kama kinyonga.
Kwa hiyo ni lazima mfahamu kuwa mwanamke huyu hana jema kwa Taifa letu wala nia njema.yeye ni mtu wa maslahi yake binafsi tu.ndio maana leo utaona yupo kwa huyu na kesho yupo kwa yule na kesho kutwa yupo kwa jambo lile.ni mtu anayeongozwa na Njaa na tumbo lake tu. Akitupiwa mifupa anabaki anahangaika nao muda wote na kuhisi yupo kwenye meza ya mfalme na kuanza kutukana na kuchafua wengine.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.