Baada ya Mabadiliko ya Uongozi CCM, nani anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa?

Baada ya Mabadiliko ya Uongozi CCM, nani anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa?

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
1,505
Reaction score
4,427
Naamini kwamba ndani ya CCM kuna wengi wenye sifa za kuwa watendaji wa CCM kutokana na uwezo wao, uzoefu wao wa kisiasa na utendaji. Kwa kuwa Rais wetu anapenda kufanya kazi na wenye sifa zifuatazo;
a) Wachapa kazi
b) Wabunifu
c) wasikilzaji ( sio wababe)
d)wenye sifa stahiki kwa nafasi
e). wasema kweli na wasio wanafiki

kwa kuzingatia sifa hizo na sifa nyinginezo, naamini wafuatao wana sifa hizo na hivyo kuweza kumsaidia vema mwenyekiti wa CCM kama wakipewa nafasi:
1. Gaudencia Kabaka
2. Thobias Mwilapwa
3.Martine Shigella
4. Anna Mngwira
5. Mpogolo
 
Hapo hakuna kabisaaa

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
CCM ni ileile
Rangi ni zilezile
Jina ni lilelile
Wanachama ni walewale
Shamba la bwana joni(sio yule) na mbuzi ni wa bwana joni..hakuna jipya
 
Naamini kwamba ndani ya CCM kuna wengi wenye sifa za kuwa watendaji wa CCM kutokana na uwezo wao, uzoefu wao wa kisiasa na utendaji. Kwa kuwa Rais wetu anapenda kufanya kazi na wenye sifa zifuatazo;
a) Wachapa kazi
b) Wabunifu
c) wasikilzaji ( sio wababe)
d)wenye sifa stahiki kwa nafasi
e). wasema kweli na wasio wanafiki
Sifa za uchapakazi na ubunifu zilishazikwa pamoja na Magufuli

Tegemea viongozi wa ajabu ajabu
 
Angerudi tu Nape Nauye au January kama sio majukumu ya bunge.

Other wise Mama asipokuwa mtendaji bora mwaka 2025 ccm itazikwa rasmi wakiweka watu wasioeleweka.
 
Back
Top Bottom