NDABANINGI SITHOLE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 529
- 530
Katibu mkuu ni mtu mkubwa sana ndani ya uongozi wa ccm,katibu mkuu ni mtu wa tatu kwa madaraka baada ya mwenyekiti,makamu mwenyekiti,anaefuata ni katibu mkuu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyumbu wa kijani ni walewale bendera fuata upepoCCM ni ileile
Rangi ni zilezile
Jina ni lilelile
Wanachama ni walewale
Shamba la bwana joni(sio yule) na mbuzi ni wa bwana joni..hakuna jipya