Baada ya Mabadiliko ya Uongozi CCM, nani anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa?

Katibu mkuu ni mtu mkubwa sana ndani ya uongozi wa ccm,katibu mkuu ni mtu wa tatu kwa madaraka baada ya mwenyekiti,makamu mwenyekiti,anaefuata ni katibu mkuu,
 
CCM ni ileile
Rangi ni zilezile
Jina ni lilelile
Wanachama ni walewale
Shamba la bwana joni(sio yule) na mbuzi ni wa bwana joni..hakuna jipya
Na nyumbu wa kijani ni walewale bendera fuata upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…