Keshoyangu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 365
- 1,082
Serikali imekiri uwepo wa vipengele vibovu na wamekubali kukosolewa na kufanyia Kazi maoni ya wengi.Kuishia kurekebisha haitoshi kwa masilahi mapana ya walipakodi.
KWANINI wale wote waliohusika kuanzia watoa hoja/wanasheria/washauri /wabunge ambao ndio wapitisha madudu na wengine wote waliopitisha uozo huo wasichukuliwe hatua kwa makosa la kutaka kuuza Taifa, kukosa uzalendo na udanganyifu kwa Wananchi????
Na Kama wasipochukuliwa hatua Kesho tutawaamini vipi hawatatuuza tena? Ni upi uzalendo wao ktk rasimali nyingine za nchi Yetu siku zijazo????
Naiwazia Sana kesho ya Walipakodi