Baada ya machinga wa kichina kutakiwa kuondoka Tz, ubalozi wa China wapiga stop viza

Baada ya machinga wa kichina kutakiwa kuondoka Tz, ubalozi wa China wapiga stop viza

Wachina watu wa ajabu sana, wao kutuuzia bidhaa feki wanaona ni sahihi?? Wakizuia kutoa visa ni bora zaidi nadhani bidhaa feki zitapungua bongo.Nendeni bana kwani Tz. yenu bana????
 
Wachina watu wa ajabu sana, wao kutuuzia bidhaa feki wanaona ni sahihi?? Wakizuia kutoa visa ni bora zaidi nadhani bidhaa feki zitapungua bongo.Nendeni bana kwani Tz. yenu bana????

my siss...wanaongoza kuleta bidhaa feki ni watanzania wenyewe... hawa wote wamachinga wa kichina ni walala hoi...
 
Hivi wale malaya wa Kichina jijini Dar-es-Salaam wizara yetu ya uhamiaji wanajua shughuli iliyowaleta Bongo?
 
Watu lazima wafuate sheria lakini waziri kusema wachina waondoke naona ni kuitukana china,kwanini asiseme tuu wavunja sheria washughulikie kuliko kuweka fatwa kwa wachina,sometimes inabidi kuwaachia hao chinese maana ukweli almost 100% of our consumption inatoka kwao na wametusaidia mambo mengi sana na mikopo mingi tuu,mnaosema tuzuie junk za kichina sijui kama mtaweza made in Germany or any western states,msijidanganye mjue mnahitaji wachina kuliko wanavyowahitaji nyie,jaribuni kuzuia made in China muone kama hamkutembea peku nusu ya nchi...urafiki ni kitu kizuri ndio maana kuna baadhi ya nchi hawahitaji visa kuja US wanaingia tuu itabidi tuwafanyie hivyo wachina maana tunawahitaji sana
 
mkuu... waziri amesema vizuri sana... kwanza hakutaja taifa lolote kwenye kauli yake.... bali alisema raia wa nchi za kigeni wanaofanya biashara za uchuuzi (petty traders and hawkers) katika soko la kariakoo na madukani.... akimaanisha biashara hizi hazihitaji wageni na zinatakiwa kufanywa na wazalendo wa nchi....
 
Back
Top Bottom