Watu lazima wafuate sheria lakini waziri kusema wachina waondoke naona ni kuitukana china,kwanini asiseme tuu wavunja sheria washughulikie kuliko kuweka fatwa kwa wachina,sometimes inabidi kuwaachia hao chinese maana ukweli almost 100% of our consumption inatoka kwao na wametusaidia mambo mengi sana na mikopo mingi tuu,mnaosema tuzuie junk za kichina sijui kama mtaweza made in Germany or any western states,msijidanganye mjue mnahitaji wachina kuliko wanavyowahitaji nyie,jaribuni kuzuia made in China muone kama hamkutembea peku nusu ya nchi...urafiki ni kitu kizuri ndio maana kuna baadhi ya nchi hawahitaji visa kuja US wanaingia tuu itabidi tuwafanyie hivyo wachina maana tunawahitaji sana