Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Unakumbuka maswali uliyomuulza mh.Raisi pale ikulu ya Magogon?watz walikupa sifaza bure.
Kwenye uzi uliopita kweli uliweka wazi uli uishi salama inabidi uwe mnafiki .
 

Uthubutu ni jambo moja, Lakini uthubutu wa JAMBO GANI na kwa manufaa gani kwa nchi na wananchi ni jambo jingine.
 
Akili umezigeuza matope kwa kuanza kufikiria utashi wa kiongoz unaendana na ukanda,naona unaajikomba kwa kuanza kuupaka upepo rangi
 
Hivi una akili sawasawa wewe au umetumwa na wasukima wenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv pusha gani anayemuuzia msuba ulio expire mayalla?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu ana maoni yake, lkn ni bora mtu aseme 2025 mimi naona fulani ananifaa sio anatufaa. Mtu unayesema anatatufaa naona umetumia kigezo dhaifu sana. Mimi namwona Rais wa 2025 ama Mhe.Jaffo au Mbawala. Na haya maneno yangu yaingie kwenye kumbukumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayala akili zako toka umeitwa njaa nnafikiri haziko sawa, hivi unatuona Watanzania wote sawasawa na wasukuma au sio? Ushaaona Tanzania sasa hatuna akili au wasukuma ndio wajanja wa mjini embu acha ujinga nq nchi yetu bwana na matusi yako yote nliokutukana kimoyomoyo yakufikie na uheshim nchi hiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu tuachieni mpira basi tulijua nia yenu ovu mmetawanya kila sehemu, watu wanaenda mpirani toka makonda anaitwa Bashite yaani leo yeye ndio katuuunganisha????

Watu wanasubiri utawala wa jiwe uishe wamtie pingu wewe unataka awe rais come on kwa vyeti gani??? na jina gani???? Ndio maana mlimtilia sumu marehemu ili mtimize yenu nyie nouna sana.

Wengine tunaomba muumba apitishe rehema yake wadhalimu woote watangulie mbele ya haki wewe unataka waendelee kushika hatamu kwa ulaghai huu.

Mechi ambayo unajua Uganda hawajatolea macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda kitabia hapishani na Magufuli , na kwa hali ilivyo kwa wananchi hawezi kuwa Rais , angeweza tu kama aliyepo angekonga nyoyo za wananchi , 20 years za uongozi wa chukizo kwa wananchi , itasababisha machafuko makubwa

Tunahitaj mtu wa Ku rescue situation iliyopo na Mtu hyo atatoka Pwani
 
The law system is like a bleach;works perfect for the ccm but destroy the democracy wake up don support the stupidity of what is going on in tanzania right now.nafikiria kuna kitu unataka upewe ndani ya huyu mkuu maana ni vice primemistory kwa sasa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…