Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!


Ninyi watani zangu mna vituko sana hasa weye Mayalla (whatever that means) 😀 🤪
 
Tanzania huu sio wakati wa kumchagua mtu kutokana na Imani yake katika dini, tunahitaji kiongozi atakaye tutoa tulipo na kutuletea

maendeleo ya kweli bila kubagua , mthubutu , mwenye uwezo wa kusimamia jambo na kuhakikisha kunakua na matokeo chanya

kwa maendeleo ya watanzania na taifa kwa ujumla.
 
Tukio la leo la kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuitwa madhabahuni na Askofu Mkuu wa KKKT, Dr. Shoo na kupatiwa kitubio, kusamehewa dhambi zake na kupatanishwa ni mibaraka mingine tena kwa mpakwa mafuta Paul Makonda, atazidi kubarikiwa hivyo utabiri huu unaweza kuja kutimia.

P
 
Huyu nipo tayari nibet nawe Pascal Mayalla hawezi kwenda popote anguko lake likaribu mnoo, anakiburi kisichokuwa cha kawaida!

Picha ya leo imenitafakarisha sana, unabishana na askofu madhabahuni??

Katibu wako mkuu amekuombea msamaha bado umeshupaza shingo tuu kuwa msamaha Kwa kosa gani??

Acha kumpaka mafuta Kwa mgongo wa chupa!
 
Tanzania sio nchi ya kila mtu anaweza kujaribu kuwa Rais.Mr Mayalla urais sio ubalozi wa nyumba kumi.sio kila uthubutu unawexa kuleta matokeo chanya kwa watu unaowaongoza
 
Zilikuwa nguvu za Soda hizo Mayalla. "Die puste ist ausgegangen".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…