Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

"Kitendo cha mtu wa Kanda ya Ziwa kushika urais kama alivyo rais Magufuli, ni dalili ya Tanzania kutenda haki ya wengi wape, yaani wenye haki na uhalali wa kutawala nchi ni wale walio wengi!. Hivyo baada ya rais Magufuli aje rais Makonda, na baada ya hapo tuendelee kule kule mpaka na makabila mengine wawe ni walio wengi ndipo nao wastahiki! ."



Haya maneno yako yanachochea watu wachague kiongozi kutokana na kabila
We jamaa ni mpuuzi sana tena sana hufai kabisa nyie ndo mnao sababisha majanga ya ukabila
 
Atakufaa wewe,mkuu
 
Hata mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 yalianza kama hivi hivi kwa kueneza propaganda za ukabila na madaraka KWA muda wa miaka mingi sana. Waandishi WA habari uchwara, wachungaji, vijana wa UVCCM yao ya utawala wa enzi hizo ( i.e Interehamwe ), wachungaji NA maprofesa WA vyuo vikuu walihongwa Rushwa NA watawala ili kueneza propaganda hiyo hatari ya mauaji.
 
Mmmmmmmmh mkuuu.
Makonda ni kama governor wa Nairobi.
Hana lolote asa si bora tumpe uraisi DC Wa kisarawe Jokate???!!!!!!
Yani Makondaaaa !!!!!Mkuu hapana niishie hapo tu.
 
OK,WHAT TYPE OF BANG ARE YOU SMOKE MY FRIEND.....
 
Nimesoma Ilboru, hivyo natumia cha Arusha!.
P
ooh.. safi sana,but 4 that man? NUO.
Ningefurahi kama SULEIMAN JAFFO ANGEANDALIWA MAPEMA,Anatoka kwenye kabila dogo la kawaida la waungwana sio mpenda sifa sio mpenda makuu,pia ni mchapa kazi.just we want a layman.msikivu anayejali shida za wanyonge kwa vitendo na sio blah blah...KWA MKAZO NAKAZIA TUNAHITAJI #MUISLAMU HAKIKA MUNGU WA KWELI HUWA YU NDANI YAO./
 
Naunga mkono joja mkuu,Seleman Jafo at least anafaa kwa kiasi flaini sio sawa na huyo zero mleta masa anayetaka kutunasibisha kwamba anafaa.
 
Tatizo la kuvuta bangi mbichi ni hili,ntaongea na ww kesho lala kwanza mwehu wee
 
Inferiority+kiburi+ushamba=Hitler
 
Kinaongea Kama kina mota .ila kina akili sa a.i like the guy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…