Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Nimeipenda comment yako Ila umemalizia hovyo kabisa kwani tunataka Rais au ustadhi atuswalishe
 
Nimeipenda comment yako Ila umemalizia hovyo kabisa kwani tunataka Rais au ustadhi atuswalishe
mkuu kiongozi ni lazima awe mchamungu wa kweli mfia dini awe anauwezo wa kuzisoma nafsi hai nyingine na haya mara nyingi huwa ni matendo ya kiroho zaidi.jaribu kuchanganua marais waliotuongoza then tathimini.
 
Pascal unaakili lkn,wewe siyo mtu wa kuaminika hata kidogo!
 

Nasikitishwa sana mada yako hii,Kuna Mengi lakini hapo ,Kabila la wengi ndio wengi’Hiyo ni zambi mbaya kuitamka kuliko kuliko Nguruwe kuingia Kibla.Kwa hiyo mimi Mmanda wa Ludewa nikawa na sifa zooote lakini sitoki kanda ya ziwa siwezi kupata Uraisi!!!’
 
Kijiti ingependeza zaidi akichukue majaliwa,uyu majaliwa ni zaidi ya magufuli atatunyoosha
 
Hussein Mwinyi ni mplole mno hatatufaa na Makonda ni mkurupukaji, mwenye tamaa na ni mwenye kujipendekeza, hatatufaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…