Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Hatuwezi kilaza Makonda awe Rais

Watanzania sio wajinga kiasi hicho pia nchi unahitaji muunganiko ambao sasa haupo
 
Mahubiri ya ukabila na ukanda tukiyaendekeza yatatutokea puani kama taifa. Tusipo ziba ufa utajenga ukuta. Tuendelee na huu upumbavu tutajua tu kuwa majuto ni mjukuu
 
Mahubiri ya ukabila na ukanda tukiyaendekeza yatatutokea puani kama taifa. Tusipo ziba ufa utajenga ukuta. Tuendelee na huu upumbavu tutajua tu kuwa majuto ni mjukuu
Mkuu Needeseela, sijampendekeza kwasababu ya kabila lake bali kwa kwa sifa zake ukiwemo uthubutu.

Ila pia tuuseme ukweli, kuna makabila ya wachapakazi na makabila ya wavivu wavivu, sasa akitokea kiongozi toka kabila la wachapakazi na akachapa kazi kweli kweli na kazi yake ikaonekana, ikaleta maendeleo na akakubalika, kuna ubaya kupendekeza kwa nafasi zinazohitaji wachapakazi, kuna ubaya kupendekeza achaguliwe mtu kutoka makabila ya wachapakazi?.


P
 
rafiki hapo sikuungi mkono!
maana kuwa raisi siyo kazi za kuagizwa
sasa uthubutu gani wakati kila alilothubutu limekwama?
sina haja ya kueleza hapa. kifupi a big NO!!!!!!1
 
Mhuuuuu mbona hili lina ukakasi,Harufu ya kutawala nchi kikanda tena?
Yatosha sasa ni zamu yetu Zanzibar kutowa Raisi ,awe wa chama chochote kile.
Hii habari ya wengi ndo watawale inaweza kuisambaratisha nchi kabla ya kufikisha umri wa karne moja.
Na nadhani hautavunjika muunganotuu bali itapasuka Tanganyika vipande 6,hapo ndipo watu watakapolia na kusaga meno.
 
Pascal naona unawapata kwenye utabiri kwani hata Mr Pengo anakawazo kama kako
Haitokea tena hadi makabila mengine yatoe nayo kwanza ndo mzunguko utawavifikia tena wasukuma
 
Acha ukabila mbwa ww
Kumbe kujitetea kote
Ni issues za kikabila
Nmekushusha Vyeo vyote
 
Tuambie maendeleo Mikoa yenu ikoje
Hapo hapo kwenye uchapaji kazi
Simiyu
Shinyanga
Tabora
Geita
Mwanza
 
Nimesoma michango , lakini nimesoma andiko la Pakali. Nilichogundua Watanzania ni wavivu wa kusma maandiko. Asilimia 90 hawajasoma andiko lote ndiyo maana michango yao yote inatembea kwenye aya tatu za mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…