Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Leo sasa ndo nimethibitisha pasipo na mashaka kua WAHUNI PIA MNAZEEKA NA MAYALA MAANA YAKE NJAA.
Katika makosa ambayo hayawezi kufanyika hata kwa bahati mbaya ni kurudisha genge la Wasukuma ikulu, ingawa huyo Makonda hana sifa hata ya kuwa Mkuu wa mkoa achilia mbali hiyo ndoto ya Abunuwasi ya Urais.
 
😆
 
Kufuatia kupandisha bandiko hili Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! . kumhusu mtu huyu, napitia mabandiko yangu ya zamani ili kulinganisha nilisema nini kuhusu mtu huyu, na kumlinganisha hapa sasa alipo, ili ku determine, anakwenda kuwa nani in future!.
Na siku akiwa, nitawapitisha tena mule mule kuwakumbusha nilisema nini!
Usifanye kabisa utani na mtu mwenye upako wa Mungu!, kaung'oa, hadi ule mbuyu wangu wa 2030!.

Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.

Mzee P.
 
Ni mimi tu ambae sielewi ulichoandika? Confidently nonsensical ni kama mfumo wako wa logic upo gereji.

Some threads age well, others don't. Yours hasn't yet you keep perpetuating same flawed narrative.
 
Ni mimi tu ambae sielewi ulichoandika? Confidently nonsensical ni kama mfumo wako wa logic upo gereji.

Some threads age well, others don't. Yours hasn't yet you keep perpetuating same flawed narrative.
Yeah hata mimi nimeona anaungaunga ili kufosi mtiririko wa utabiri wake wakati alimtabiria Makonda awe Rais mwaka 2025 na sasa hivi tunakaribia mwaka 2027 sasa anaurusha tena utabiri wake mwaka 2030 na hapo akifeli atasema tena subirieni mwaka 2035 mtashangaa kwa kifupi hakuna utabiri hapa
 
Ni muhimu kutofautisha ujasiri wa kuchukua hatua na kuongoza bila kuzingatia sheria. Kiongozi anaweza kuwa na maamuzi ya haraka na kuleta mabadiliko, lakini uwajibikaji, haki na taasisi imara ni muhimu pia ili mafanikio yadumu hata baada ya uongozi wake kuondoka.
 
Ni aibu km msomi km wewe kumpigia debe mtu wa hovyo km Makonda, hata huo uwaziri hastahili. Makonda ht uwezo wa akili ni mdogo sana, ni mshamba km asili yake ilivyo. Hakuna alicho-accomplis kuanzia Dsm mpaka Arusha. Tutadharauliwa na ulimwengu kuwa eti na Rais km huyo mshamba.
Huyo Magufuli unayemtaja ndiyo ameturudisha nyuma miaka zaidi ya 20 sijui huo ujasiri wa kumtaja unaoutoa wapi, aliigawa nchi, alikuwa mbaguzi, na alichoka baada ya miaka 5 tu, alishaharibu uhusiano wa kimataifa, tumshukuru Mungu alimwondoa haraka yule lilikuwa janga, alichofanikiwa ni kupumbaza wapumbavu wa nchi hii. Kwa ule muda wa mfupi alisafiria nyota ya Kikwete. Hakuna alichokamilisha alianzisha miradi mikubwa kwa pupa ambayo asingeweza kuikamilisha mingi aliiacha ktk asilimia 30. Ktk makosa nchi hii ilifanya ni Magufuli kuwa Rais, NEVER NEVER NEVER AGAIN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…