Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Mayala

Upo sahihi hapo mwisho

UPINZANI KUONGOZA DOLA BADO SANA

ni kweli, angalia uchaguzi mdogo ktk kata 21, ma ccm yamelamba 20,

Kwa hali hii UPINZANI MADHUBUTI BADO SANAAAA
 
Vipi waliompigia maMvi wana akili timamu?
 
wewe yaani atoke ngosha halafu aingie ngosha. thubutu. 2025 ni zamu ya kanda nyingine....
 
Uko makini Mwanabodi,tatizo nnaloliona ni kwamba atapigwa zengwe chamani ukizingatia tayari wamesham-mind,na kwake zengwe litakuwa rahisi sana kwamba Rais hawezi kutoka kanda ya ziwa na particularly kabila hilo hilo mfululizo.labda ukawa wamnyakue halafu tumchague kupitia huko.
 
Mkuu umeongelea Uthubutu mwanzo mpaka mwisho wa bandiko lako...hiyo ndiyo sifa ya kuwa rais??
History of success??
Education??
Character??
Etc.
Iam not convinced kabisa...sikubaliani na wewe.
 
Kwani wewe uliishia darasa la ngapi?
 
Uzi usipo usoma unaweza uchukia. lakini umetoa sifa zao zote za kijinga. haaa
 
Hata ukijikomba vipi huna nafasi ya kufikiriwa
 
Makonda ana kipi special kiasi cha kumuona anafaa?
anza na mwaka wake mmoja wa ukuu wa mkoa ni innovation idea gan iliyowasaidia wananchi zaidi ya siasa za muda mfupi?
Mkuu mleta uzi kapagawa na ugumu wa maisha ya kitaa
 
Pascal hebu jaribu kumuogopa Mungu.
Yaani unamzungumzia Makonda huyu huyu alotupigia mzee wetu Warioba!
kampiga mzee tena jaji na waziri mkuu mstaafu sa unazani atashindwa nini kutukandamiza wanyonge.
Hafai hata kuongoza nyumba kumi
 
Paskali kwa nyuzi hizi iko namna kuna mtu unamkwepa kiaina baada ya kumtupia bomu la mkono kwenye mkutano pale nyumba nyeupe. Pamoja na hayo bado anakunyatia kimya kimya hivyo kila hatua moja mbele geuka nyuma mara mbili..!!
Tatizo la mleta uzi habebeki maana elimu ni sheeeedaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…