Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Angeandaje wakati mlisema atawale maishaNdio maana huwa najiuliza hivi Mwendazake hakuandaa Mtu mwenye muelekeo wake?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angeandaje wakati mlisema atawale maishaNdio maana huwa najiuliza hivi Mwendazake hakuandaa Mtu mwenye muelekeo wake?.
Acha uongo weyeAcha kudanganya watu wewe.Una taarifa za nchi nzima au inaangalia ka eneo kako alafu unakuja na hitimisho.Umeme haujawai kuacha kukatika ovyo nchi hii ata kipindi cha Jpm bado ulikua ukikatika maeneo mbali mbali labda kama ulikua haupati taarifa tofauti na hapo ni majungu tu unataka kutuletea.
Scenario nyingine hazina mantiki kabisa, unataka kuaminisha umma kua tanesco kipind hiki wanafanya makusudi? Vitu vingine hua viko technically, hata wakati yupo umeme baadhi ya maeneo ulikua unakatika sana mpaka jion ndo unarud. Msi aminishe watu kua mtu mmoja ndie ana uwezo wa kuongoza. Low IQ, think about it!
huku arusha na moshi toka mwendazake amesepa mawinguni tumeshasahau mgao wa umemeHayati Magufuli aliwahi kujitabiria kwamba Watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.
Hii katakata ya umeme hapa Iringa Manispaa ambako tangu Magufuli afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha Magufuli na kauli yake mashuhuri kipindi akiwa hai ilikuwa "yeyote atakayekata umeme atakatika yeye" iliwafanya watendaji wa TANESCO kuwa makini muda wote, na ni kweli umeme ulikuwa stable sana enzi za JPM. Hii yote inadhihirisha umuhimu wa kuwa na kiongozi imara pale juu.
Mama Samia chonde chonde usifanye watanzania tummiss JPM zaidi ya ile kawaida. Uliahidi mwenyewe kwamba mazuri ya Magufuli utayaendeleza lakini tangu umekalia kiti haijasikika sauti yako thabiti juu ya upuuzi puuzi kama huu wa Tanesco kukata umeme mara kwa mara namna hii.
Kwenye umeme mama amefeli mapema snKuna wilaya moja nipo umeme unawaka nusu ya mji tu na kwingine ni kiza nadhani ni siku ya Saba Leo au zaidi.
Acha unafiki wewe, toka mwaka jana wakati Magufuli yupo kuna thread zaidi ya 20 humu tunalalamika kukatika kwa umeme. Usitake kumtetea mtu anaeteketea motoni!Hayati Magufuli aliwahi kujitabiria kwamba Watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.
Hii katakata ya umeme hapa Iringa Manispaa ambako tangu Magufuli afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha Magufuli na kauli yake mashuhuri kipindi akiwa hai ilikuwa "yeyote atakayekata umeme atakatika yeye" iliwafanya watendaji wa TANESCO kuwa makini muda wote, na ni kweli umeme ulikuwa stable sana enzi za JPM. Hii yote inadhihirisha umuhimu wa kuwa na kiongozi imara pale juu.
Mama Samia chonde chonde usifanye watanzania tummiss JPM zaidi ya ile kawaida. Uliahidi mwenyewe kwamba mazuri ya Magufuli utayaendeleza lakini tangu umekalia kiti haijasikika sauti yako thabiti juu ya upuuzi puuzi kama huu wa Tanesco kukata umeme mara kwa mara namna hii.
Itakuwa ni hujuma maana Mh Rais haja badilisha utawala hapa.Hayati Magufuli aliwahi kujitabiria kwamba Watanzania watamkumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya.
Hii katakata ya umeme hapa Iringa Manispaa ambako tangu Magufuli afariki naona imekuwa kawaida kila siku umeme unakatwa, tena bila taarifa yoyote. Kata kata hii ilipigwa marufuku kipindi cha Magufuli na kauli yake mashuhuri kipindi akiwa hai ilikuwa "yeyote atakayekata umeme atakatika yeye" iliwafanya watendaji wa TANESCO kuwa makini muda wote, na ni kweli umeme ulikuwa stable sana enzi za JPM. Hii yote inadhihirisha umuhimu wa kuwa na kiongozi imara pale juu.
Mama Samia chonde chonde usifanye watanzania tummiss JPM zaidi ya ile kawaida. Uliahidi mwenyewe kwamba mazuri ya Magufuli utayaendeleza lakini tangu umekalia kiti haijasikika sauti yako thabiti juu ya upuuzi puuzi kama huu wa Tanesco kukata umeme mara kwa mara namna hii.
Kweli kabisa, kama mwaka jana umeme ulikuwa unakatika siku nzima daily.. mwambie huyo pundahuku arusha na moshi toka mwendazake amesepa mawinguni tumeshasahau mgao wa umeme
HahahahhahhahaKwa hapa mbeya tunashukuru umeme haukatiki sana saivi, hata jenereta imebidi niwe naliacha nyumbani.