DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Dr Slaa yuko upande gani this time around?
Okey, aliishaachana na issue za mafisadi sio. Kwa hiyo yuko na musibaUpande unaomuhakikishia kumaliza uzee wake vizuri ndio aliopo.
Okey, aliishaachana na issue za mafisadi sio. Kwa hiyo yuko na musiba
Kweli,mzee snitch sana yule.Tena unaweza kukuta yeye ndio anaandika script.
huyu jamaa siku akiondoka madarakani itakuwa kama "gombania goli", kila mtu akitaka pa kutoboa - mwenye kutaka kutoboa jicho haya, kata vidole haya, ng'oa meno haya.....Katika kile kinachoonekaonekana Vita ya wasaliti ndani ya chama kupamba Moto tayari baadhi ya mabaloz wameonekana kuhusika mojamoja na mgawanyiko ndani ya chama na hivyo hivi karibuni watarejeshwa nchini.
Pia wapo wakuu wa mikoa waliojipanga kugombea ubunge na wakuu wa mikoa wanaohisiwa wapo timu Membe..
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji
Katika kile kinachoonekaonekana Vita ya wasaliti ndani ya chama kupamba Moto tayari baadhi ya mabaloz wameonekana kuhusika mojamoja na mgawanyiko ndani ya chama na hivyo hivi karibuni watarejeshwa nchini.
Pia wapo wakuu wa mikoa waliojipanga kugombea ubunge na wakuu wa mikoa wanaohisiwa wapo timu Membe..
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji
Slaa yumo? Nitafurahi akiwemo kutumbuliwaKatika kile kinachoonekaonekana Vita ya wasaliti ndani ya chama kupamba Moto tayari baadhi ya mabaloz wameonekana kuhusika mojamoja na mgawanyiko ndani ya chama na hivyo hivi karibuni watarejeshwa nchini.
Pia wapo wakuu wa mikoa waliojipanga kugombea ubunge na wakuu wa mikoa wanaohisiwa wapo timu Membe..
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji
Umeniwahi kwa swali hiliDr Slaa yuko upande gani this time around?
Laana iko upinzani mkuu!Laana inawatafuna hawa watu na lichama lao!!
Da mange anasema huyu Mzee anaandaa mazingira ya kudum madarakanhuyu jamaa siku akiondoka madarakani itakuwa kama "gombania goli", kila mtu akitaka pa kutoboa - mwenye kutaka kutoboa jicho haya, kata vidole haya, ng'oa meno haya.....
Uliza tu,majibu ya hapa jf hutegemeana zaidi nani anauliza.Umeniwahi kwa swali hili
Katika kile kinachoonekaonekana Vita ya wasaliti ndani ya chama kupamba Moto tayari baadhi ya mabaloz wameonekana kuhusika mojamoja na mgawanyiko ndani ya chama na hivyo hivi karibuni watarejeshwa nchini.
Pia wapo wakuu wa mikoa waliojipanga kugombea ubunge na wakuu wa mikoa wanaohisiwa wapo timu Membe..
Mwenzako akinyolewa wewe tia maji
Haaaaa...Uliza tu,majibu ya hapa jf hutegemeana zaidi nani anauliza.
Haongei saa ya kula, yuko salama. Mtiti ni kwa NchimbiDr Slaa yuko upande gani this time around?