Tetesi: Baada ya Makamba, mabalozi watatu, wakuu wa mikoa watatu na wakuu wa wilaya saba kutumbuliwa

Tetesi: Baada ya Makamba, mabalozi watatu, wakuu wa mikoa watatu na wakuu wa wilaya saba kutumbuliwa

The fear of unknown inamtafuna mwenyekiti na his inner circle. Mambo mengine wala hayahitaji hasira na tumbuatumbua hovyo
 
Bora uachie urais kuliko kijikomba. Mwishoe unakosa maamuzi. Safi sana JPM
 
Misimamo ya kishamba na visasi
ba ngosha kama kawaida wakipewa nafasi ya kuwa juu huwa hawapendi kufanya ujinga, nawaaminia....wanaume wa kweli wenye misimamo thabiti kwa kile wanachokiamini. Banghosha oyeeee!
 
Huu mvurugano wa ccm uendelee mpaka wagawane mbao ili wananchi tuwe salama toka kwa huýu mkoloni wa kijani
 
Aendelee tu na kibri chake, eti hapangiwi? Hataki machozi kwenye taifa lake? Kalagabaho, ipo siku watalia wa nyumbani kwake...
 
wengine vichwa vizito tutajie hata jina lake la kwan
Kuna balozi mmoja wa nchi jirani, ana kashfa nyingi sana aliwahi kushika nafasi ya juu kweny chama. Nasikia yuko kweny list ya wanaofuatiliwa na zamu yake kuliwa imefika. Maendeleo hayana vyama. Kudadadekiiiii
wengine vichwa vizito jamani tutajie hata jina la kwanza tu la ndugu balozi ili tusiwe wa mwisho kupata habari motomoto
 
Back
Top Bottom