Baada ya makapi kutoka CCM kurudi Chadema, tayari Mipasuko ndani ya Chadema imeanza, kina Msigwa wachunguzwe!

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Waliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema

Angu waruhusiwe kurudi Chadema, sikuwahi kuwaamini tena

Tutajuwaje kina Msigwa kama ndio wametumwa kuja kutengeneza haya yaliyopo sasa ndani ya Chadema?

Chadema ni chama Imara sana, wananchi wamekipa matumaini makubwa kwa ukombozi wa nchi Yao

Ni Chadema pekee ambacho karibu Kila majira hupitia misuko suko mingi na mikubwa na baadaye kukaa imara zaidi

Hata hili linapita

Ila kunahitajika uchunguzi wa kina kuwahusu waliowahi kukihama chama kisha kutimkia CCM

Siku zote huwa naamini, Mwanachama anayetokea CCM ni WA kukaa mbali naye MITA Mia mpaka mjiridhishe kwanza

Kwa muda mfupi tu baada ya wahamaji kurudi Chadema ndio tunaona haya

Wachunguzwe
 
Tafuteni kazi za kufanya
 
Umerogwa na aliyekuroga alishafariki tangu 2022
 
Uzuri makamo M.kiti anayo pdf ameacha mahali pajina cheo ,mkoa na tawi / barazaa tokako mwenye kutaka kutumiwa kwa manufaa yasiyo ya chama.
 
Waliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema

Angu waruhusiwe kurudi Chadema, sikuwahi kuwaamini tena

Tutajuwaje kina Msigwa kama ndio wametumwa kuja kutengeneza haya yaliyopo sasa ndani ya Chadema?

Chadema ni chama Imara sana, wananchi wamekipa matumaini makubwa kwa ukombozi wa nchi Yao

Ni Chadema pekee ambacho karibu Kila majira hupitia misuko suko mingi na mikubwa na baadaye kukaa imara zaidi

Hata hili linapita

Ila kunahitajika uchunguzi wa kina kuwahusu waliowahi kukihama chama kisha kutimkia CCM

Siku zote huwa naamini, Mwanachama anayetokea CCM ni WA kukaa mbali naye MITA Mia mpaka mjiridhishe kwanza

Kwa muda mfupi tu baada ya wahamaji kurudi Chadema ndio tunaona haya

Wachunguzwe
CDM inaondoa Wachumia TUMBO kwa sasa ,yeyote alipata MGAO WA ABDUL na kuja kutuletea NGONJERA za Heche wanapita naye kama UPEPO.
 
Back
Top Bottom