mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Tafuteni kazi za kufanyaWaliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema
Angu waruhusiwe kurudi Chadema, sikuwahi kuwaamini tena
Tutajuwaje kina Msigwa kama ndio wametumwa kuja kutengeneza haya yaliyopo sasa ndani ya Chadema?
Chadema ni chama Imara sana, wananchi wamekipa matumaini makubwa kwa ukombozi wa nchi Yao
Ni Chadema pekee ambacho karibu Kila majira hupitia misuko suko mingi na mikubwa na baadaye kukaa imara zaidi
Hata hili linapita
Ila kunahitajika uchunguzi wa kina kuwahusu waliowahi kukihama chama kisha kutimkia CCM
Siku zote huwa naamini, Mwanachama anayetokea CCM ni WA kukaa mbali naye MITA Mia mpaka mjiridhishe kwanza
Kwa muda mfupi tu baada ya wahamaji kurudi Chadema ndio tunaona haya
Wachunguzwe
Umerogwa na aliyekuroga alishafariki tangu 2022Waliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema
Angu waruhusiwe kurudi Chadema, sikuwahi kuwaamini tena
Tutajuwaje kina Msigwa kama ndio wametumwa kuja kutengeneza haya yaliyopo sasa ndani ya Chadema?
Chadema ni chama Imara sana, wananchi wamekipa matumaini makubwa kwa ukombozi wa nchi Yao
Ni Chadema pekee ambacho karibu Kila majira hupitia misuko suko mingi na mikubwa na baadaye kukaa imara zaidi
Hata hili linapita
Ila kunahitajika uchunguzi wa kina kuwahusu waliowahi kukihama chama kisha kutimkia CCM
Siku zote huwa naamini, Mwanachama anayetokea CCM ni WA kukaa mbali naye MITA Mia mpaka mjiridhishe kwanza
Kwa muda mfupi tu baada ya wahamaji kurudi Chadema ndio tunaona haya
Wachunguzwe
Uzuri makamo M.kiti anayo pdf ameacha mahali pajina cheo ,mkoa na tawi / barazaa tokako mwenye kutaka kutumiwa kwa manufaa yasiyo ya chama.Waliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema
Angu waruhusiwe kurudi Chadema, sikuwahi kuwaamini tena
Tutajuwaje kina Msigwa kama ndio wametumwa kuja kutengeneza haya yaliyopo sasa ndani ya Chadema?
Chadema ni chama Imara sana, wananchi wamekipa matumaini makubwa kwa ukombozi wa nchi Yao
Ni Chadema pekee ambacho karibu Kila majira hupitia misuko suko mingi na mikubwa na baadaye kukaa imara zaidi
Hata hili linapita
Ila kunahitajika uchunguzi wa kina kuwahusu waliowahi kukihama chama kisha kutimkia CCM
Siku zote huwa naamini, Mwanachama anayetokea CCM ni WA kukaa mbali naye MITA Mia mpaka mjiridhishe kwanza
Kwa muda mfupi tu baada ya wahamaji kurudi Chadema ndio tunaona haya
Wachunguzwe
CDM inaondoa Wachumia TUMBO kwa sasa ,yeyote alipata MGAO WA ABDUL na kuja kutuletea NGONJERA za Heche wanapita naye kama UPEPO.Waliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema