Baada ya makato ya simu sasa ni bei ya Mbolea

Baada ya makato ya simu sasa ni bei ya Mbolea

Acheni kelele nyie, hayo ni maumivu ya muda mfupi, mama atafungulia hela mtaani[emoji2223][emoji205][emoji1787]
Kuna hela zitamwagika balaa umeongea point cha msingi ndugu nikutega sikio fursa zitatokea za ajabu sana
 
Nawaza tu kwenye hii miamala serikali si itakusanya zaidi ya TRA......
 
Sasa tuanze kujifunza kutumia kinyesi cha wanyama na binadamu kama mbolea 😀.
 
Hili la mbolea limeniuma sana. Mkoa nliopo Urea ni 80K halafu unaambiwa ulime kwa njia za kisasa. Nchi imekua ngumu hii sijui tutaponea wapi
Maendeleo ya nchi yetu hayatoletwa na MBOJO! Yataletwa na mimi na wewe.

NB: Kuwafahamu Mbojo...
Screenshot_20210718-203111.jpg
 
Maendeleo ya nchi yetu hayatoletwa na MBOJO! Yataletwa na mimi na wewe.

NB: Kuwafahamu Mbojo...View attachment 1858801
Maendeleo yaletwe kwa kutoana roho. Halafu sasa kama mimi wakulima wenzangu wengi wamesema wakishavuna vilivyopo shambani hawalimi tena. Wangapi wenye mentality kama hizo? Kuna maendeleo yatakayotokea hapo zaid ya mdororo wa mambo
 
Mama anaupiga mwingi mno.[emoji1614][emoji36]
Mama anatoa boko kwenye mbolea.
Hiyo tozo ya kwenye fedha za mtandao akaze tu ili mradi tuone huduma zilizokusudiwa kutokana na haya makato zimekamilika.

Wakitukamua na kujineemesha wao tutamuadhibu mama kwenye sanduku la kura kama atagombea 2025.
 
Mama hategemei kura zenu.
 
Back
Top Bottom