Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
KUFUTWA KWA ZOEZI LA UPUNGUZAJI WAFANYAKAZI
TAREHE 23/10/2023
KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVIAS TABORA MAKUTOPORA
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Kufuatia malalamiko mengi kuhusa zoezi hili hasa namna ya uchaguzi wa waathirika wa zoezi hili, Uongozi umefuta zoezi hili hadi pale utaratibu mwingine (Mfano LIFO, FIFO na mingine) itakapo fikiwa na kukubaliwa kwa njia ile ile ya majadiliano na makubaliano, kwa sasa zoezi upunguzwaji halipo.
Ikiwa utahitaji msaada wowote zaidi au una maoni yoyote kuhusu yaliyoelezwa hapo juu, tafadhali jisikie huru kayaleta wakati wa vipindi vya mashauriano.
Imetolewa na.
IDARA YA RASILIMALI WATU YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAYI MRADI WA NJIA YA TRENI MAKUTOPORA TABORA 23/10/2023
Soma taarifa ya awali - Mkandarasi wa SGR (Yapi Merkezi) atoa tangazo la kupunguza Wafanyakazi 525