malalamiko

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko ya kukosekana kwa Dawa za Saratani (Chemotherapy) kwa bima ya NHIF, Muhimbili Mloganzila

    Mgonjwa wangu anasumbuliwa na tatizo la Saratani na kwa sasa yupo kwenye mzunguko wa matibabu ya Kemotherapy (Chemotherapy), Hospitali ya Taifa MUHIMBILI (MLOGANZILA). Hivi karibuni tumeelezwa na wataalamu kuwa Dawa za Chemotherapy anazotakiwa kupata mgonjwa wangu hazipo/zimeisha hospitalini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Tarime: Malalamiko kuhusu ukosefu wa uwazi na haki katika zoezi la upimaji wa madini Kijiji cha Nkerege

    Ninaandika kama mwananchi wa Kijiji cha Nkerege, Wilaya ya Tarime, kueleza masikitiko yangu kuhusu namna zoezi la upimaji wa madini lilivyotekelezwa katika kijiji chetu na utaratibu uliotumika kugawa fidia kwa Wananchi walioathirika. Kabla ya zoezi kuanza, kulikuwa na makubaliano kwamba...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara wa Maua, Mbuyuni- Dar tumepewa siku 3 kuondoka ikielezwa kuwa haitakiwi fremu kuwa kando ya barabara

    Ndugu wanajukwaa, Naomba kutumia jukwaa hili kuwasilisha malalamiko na kuomba msaada wa kufikisha kilio cha wafanyabiashara wanaoendesha shughuli zao katika fremu za biashara za maua zilizopo eneo la Mbuyuni barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam. Mwaka jana 2025, tulikutana na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Wizara ifanye uchunguzi malalamiko ya Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS)

    Watumishi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Mtwara (COHAS) tunaomba msaada wa Wizara ya Afya kutokana na changamoto tunazokabiliana nazo chini ya uongozi wa chuo chetu. Tunadai stahiki za watumishi wanaosafiri kikazi, hazilipwi, Kiongozi wetu mkuu na Mtu wa Fedha wakitajwa kujilipa katika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Amnesty yaitaka Kenya kushughulikia malalamiko yanayochochea maandamano. Yawa kimya Ufaransa

    Amnesty yaitaka Kenya kushughulikia malalamiko yanayochochea maandaman. Lkn haitoi kauli hata ndogo kwa watawala na Yawa kimya Ufaransa
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Waratibu wa Mkutano wa LCOY watoa ufafanuzi kuhusu tuhuma na malalamiko dhidi yao

    Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika. Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026 Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimelipia kifurushi cha Azam TV tarehe 5 Oktoba 2026 Azam TV wanadai kuwa fedha hizo hazijawafikia

    Nimelipia kifurushi cha Azam TV tarehe 5 Oktoba 2026 kwa kiasi cha Sh28,000 kupitia Azam Pesa. Muamala unaonyesha kuwa malipo yamefanikiwa kikamilifu, lakini Azam TV wanadai kuwa fedha hizo hazijawafikia. Nilipowasiliana nao, niliambiwa nisubiri ndani ya saa 72 huku suala langu...
  8. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Changamoto za NHIF Selfservice Portal

    Rejea kichwa cha habari, kutokana na dhana ya serikali kwenda kidijitali zaidi, yaani wananchi waweze kupata huduma za serikali popote walipo mtandani tunashkuru taasisi nyingi za serikali kama NSSF, RITA, TRA na police kupata huduma mtandani ni haraka na uhakika. Changamoto ya NHIF...
  9. S

    JamiiForums Tanzania KERO MALALAMIKO YANGU DHIDI YA TALENTS SOLUTION COMPANY LIMITED

    Ninaandika haya ili kueleza uzoefu wangu kama mfanyakazi na changamoto nilizokutana nazo katika mchakato wa ajira na kusitishwa kwa mkataba wangu na Talents Solution Company Limited. Nilikuwa nimeajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja, ambao kwa mujibu wa mkataba wangu ulipaswa kuendelea hadi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Natumia laini ya Airtel na nimeihakiki mara mbili ila bado napata ujumbe “namba yako imesajili namba za uhalifu”

    Habari, Mimi ni mteja wa mtandao wa Airtel. Takriban wiki moja iliyopita, nilianza kupokea ujumbe unaonitaarifu kuwa namba yangu itafungwa. Ninapompigia mtu simu, ujumbe unaonekana ukisema kuwa “namba yako imesajili namba za uhalifu.” Hata hivyo, hili si jambo jipya. Awali nilishawahi kwenda...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunashindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal. Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto ya kushindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu na hasara kwa waombaji na wadau wa sekta ya madini. Madini Portal ni mfumo muhimu unaotumika kutoa na kufuatilia huduma mbalimbali zinazohusiana...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kuchelewa kutoka kwa Miundo ya Mitihani ya Kidato cha sita kwa mtaala mpya

    BARUA YA MALALAMIKO Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, S.L.P. 10, DODOMA. YAH: MALALAMIKO KUHUSU KUCHELEWA KUTOKA KWA MIUNDO YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (ACSEE) KWA WANAFUNZI WA MTAALA MPYA Ndugu Katibu Mkuu, Tunakuandikia kuwasilisha...
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya wanawake, nini kifanyike?

    Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike? Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa...
  15. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mwamposa kunyanganywa madhabahu ya Kawe kufuatia malalamiko ya wananchi

    Kuna taarifa zinatembea chini kwa chini kuwa huenda mtume Boneface Mwamposa akanyanganywa madhabahu ya Kawe baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi kuhusu namna anavyowatendea waumini wanaotoka mikoani kuja madhabahuni kwake. Katika klipu moja inayotembea kwenye mitandao ya jamii...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Magufuli Stand wajibu malalamiko kuhusu vyoo, mpangilio wa stendi

    Soma pia: Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi Kufuatia malalamiko ya watumiaji wa stendi ya Magufuli iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam kuhusu ufinyu wa vyoo kwa abiria, Meneja wa stendi hiyo, Isaac Kasebo amesema vyoo vilivyopo vinatosha, ila tatizo abiria wengi hawajajua...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
  18. U

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kutolipwa fedha za Wakulima na Watumishi walioshiriki Nanenane Halmashauri ya Mbulu

    Resolved
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DED Mtwara Mikindani: Muuza Samaki anayetozwa ushuru kisha akiomba risiti anatishiwa, aje aripoti tuwabaini wanaofanya hivyo

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Hoja ya awali ya Mdau hii hapa ~ Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara...
  20. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya walimu Kilindi Tanga yafika ofisi ya waziri mkuu Kwa mafanikio.Cwt kilindi kuburuzwa katika vyombo vya kisheria

    Habari za muda huu. Kwa mafanikio makubwa katika historia ya maendeleo ya kielimu wilayani kilindi.Mjumbe maalumu alieandaliwa na walimu hao wenye malalamiko ya madai mbalimbali aliwajulisha walimu kuwa kazi aliyotumwa ameifanya kikamilifu huku akiwatumia picha kadhaa za ushahidi wa kufanikisha...
Back
Top Bottom