Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike?
Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa wanalalama.
Wafupi wanalalama, warefu weusi wanalalama 🤔