Wanaume tumekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya wanawake, nini kifanyike?

Wanaume tumekuwa na malalamiko mengi sana dhidi ya wanawake, nini kifanyike?

The game is rigged!

20260919_183052.jpg
 
Wanaume wanaolalamika lalamika tu jua wanataka kuleft group 😜

Unalalamikaje mwanaume

Ngoja sie tupozi akilibga anatongozwa mwingine anagongwa

🤣🤣🤣🤣
 
Wanaume wenzangu malalamiko dhidi ya wanawake ni mengi sana humu jamvini, hasa usaliti nini kifanyike?

Nyuzi za wanawake kulalama dhidi yetu ni chache sana, wanaume wenzangu hawa viumbe wametukama wapi na inaonekana hakuna jeuri zaidi ya kulalama. Wenye pesa wanalalama, wasio na pesa wanalalama.

Wafupi wanalalama, warefu weusi wanalalama 🤔
Wanaume wanaopenda kulalamika kuhusu wanawake wakamatwe na kupelekwa gerezani.
 
Back
Top Bottom