Baada ya Manny Pacquiao kuupinga ushoga, Nike wavunja mkataba

Watu wengine hawana akili kabisa, hivi kosa la Mani ni lipi? Si amesema kuwa Mnyama wa Kiume hawezi kumpanda wa Kiume bali humfuata wa kike? kwani ni uongo? Na kwamba ni lazima tuige mfano huu wa Wanyaa, MUNGU akubariki MANI hadi ushangae......
 
Sasa kosa la Man Pac hapo ni Lipi ,hawa wapumbavu wanadhani kuvunja mikataba yao ndio atakua maskini ? Mtu mwenyewe ni tajiri ila anaishi maisha yasiyo na makuu ,kanifurahisha juzi ana mradi wake wa nyumba aliowajengea maskini huko kwao ,
 
Safi sana Mann.Ufalme wa Mungu ndio kila kitu haya mengine yote yanapita.
 
Man ni mwanaume wa kweli anaishi na maneno yake
 
Cc: Bhanunu
 
Mkuu km huna habari hii ni njia moja wapo ya Waisraeli Kuusambaratisha Ukristo na Tamaduni za mataifa yote Yalioendelea na Yanayo onekana Kuendelea.
Hii ni Ile ile program ya New World Order.
Wakisha sambaratisha Tamaduni za watu ni rahisi Kutawala kila mtu.
We uoni watoto wetu wa kitanzania siku wanamme wanasuka nywele na kuvaa mdebwedo Na hereni maskioni?
wao wanaona ndio maendeleo hayo.
Halafu salamu yao "what's up ma nigger"!
Pumbavu kabisa.

Polepole Tanzania tutaingia tu huku.
We fanya bidii kuokoa watu wako wa karibu kwa kupiga marufuku mila zote za kigeni. Kuanzia Miziki yao mavazi yao mpk Mitembeo yao kemea Kabisa.
Na km una watoto chapa sana makofi wakianza ushenzi wwt wa kuiga.
Huwezi kuokoa Taifa, wala Magufuli hawezi lkn wewe na Watu wako wa karibu unaweza kujitahidi.
 
Hapa kisu kimegusa mfupa:
“Do you see animals mating with the same sex? Animals are better because they can distinguish male from female. If men mate with men and women mate with women they are worse than animals.”
 
God bless you man of God


God bless Man...Be strong hawa wazungu wan


God bless Man P.. in Jesus Name, Amen.
 
inatakiwa asimamie ukweli,lakini namshangaa majuzi anaomba msamaha tena kwa yote aliyoyasema
 
Nike ipo kibiashara imeona kwa kauli hiyo wasipochukua hatua wao ndio watapata hasara. Walichofanya ni kumtoa Manny then wao wanakuwa kwenye safe side
Kwa hiyo wele wanao ukubali ushoga ni wengi na wananguvu kubwa kuliko hawa wasio kubaliana na ushoga Nike wamekubali kuwaunga mkono mashoga kwakuwa wananguvu kubwa kwenye biashara zao sioo !?
 
Hii ni Ile ile program ya New World Order.
QUOTE]

You have a big point mkuu ...Hii new world order nilisikia wana mpango wa ku plant chip kwa kila binadamu....

What is the current status?

Je wayahudi wao wanakulana?
 

You have a big point mkuu ...

Hii new world order nilisikia wana mpango wa ku plant chip kwa kila binadamu....

What is the current status?

Je wayahudi wao wanakulana?
 
You have a big point mkuu ...

Hii new world order nilisikia wana mpango wa ku plant chip kwa kila binadamu....

What is the current status?

Je wayahudi wao wanakulana?
Mpango wa Chip Baadhi ya Watu wanaoshirikiana na hao hao Zionist Criminals wamejitolea kuwekewa hizo Chip lkn wananchi wengi wamekataa hii kitu..

Na kuhusu Wayahudi kutafunana ni balaa tupu.

Miaka ya nyuma Newyork iliongoza kwa ile SIKU KUU ya MASHOGA.
Gay parade. (Mkusanyiko wa mashoga duniani) lkn Hivi sasa TEL AVIV ndio Inayo Ongoza DUNIANI.

kuna MASHOGA waliojiandikisha ZAIDI ya 500,000 Wananchi wa ISRAEL.

Hii ni Moja ya Sherehe Hio ya MASHOGA iliofanyika TEL AVIV.
ILIKUWA ni Kubwa Dunia haijawahi Kuona.

Hapo ni Kutafunana kwenda mbele.

Tel Aviv trumps New York to be named world's best gay city

WORLD'S TOP GAY CITIES

The most popular destinations for gay travellers, as voted for by readers of GayCities.com, are:

1. Tel Aviv - 43 per cent

2. New York - 14 per cent

3. Toronto - 7 per cent

4. Sao Paolo - 6 per cent

5= London - 5 per cent

6. Madrid - 5 per cent

7. New Orleans - 4 per cent

8. Mexico City - 4 per cent
 
Wangemuuliza kabla ya kuingia kwenye ngumi ingemuathiri lakini sasa ivi keshawapiga ela ndo wanashtuka, manny hana cha kupoteza jinga sana mizungu.
 
Man ni mwanaume wa kweli anaishi na maneno yake
Uamuzi safi kabisa. Watu tusiwe watumwa kwa kudekeza tu kwamba nitanyimwa hela kama sikufuata watakavyo wakubwa hata kama sisi wenyewe tuna mawazo tofauti. Bila shaka Mungu atamfungulia mlango mwingine wa kupatia fedha kuliko kunyenyekea ushetani. Hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…