Baada ya Manny Pacquiao kuupinga ushoga, Nike wavunja mkataba

Mkuu umesahau Palestina nayo pia
 
Wazungu ni wehu hili swala la kulana uroda jinsia moja sio sahihi kabisa
 
Manny Pacquiao.... bora umewachana live..! Wanakera sana hawa watu... lol!
 
Tazama huyu kenge kaisha kimbilia kwenye Udini.
Leta ushahidi km niliokuletea mimi.
Usilete ubishi wa kitoto.
Au na wewe ni Mboga ya myahudi tayari?
Tambua waonekana kituko kwa kunishambulia me binafsi paspo kutafuta suluhu ya mm kuandika ivyo lkn unajitoa akili na kuonekana kituko jamvin mm sitokujibu tusi la aina yyte sabb me ni mwislam safi
 
Tambua waonekana kituko kwa kunishambulia me binafsi paspo kutafuta suluhu ya mm kuandika ivyo lkn unajitoa akili na kuonekana kituko jamvin mm sitokujibu tusi la aina yyte sabb me ni mwislam safi
Teh teh teh.
Muislamu safi au sio?
Dah... muislamu safi anauliza km kuna mashoga Palestina?
Sasa ukishajua kuna mashoga huko ukafanyaje sasa!

Teh teh teh mijitu mingine hata Uongo haijui.
Soma Data za uhakika hapo Juu. Acha bla bla.
Muislamu anaitwa Wembee?
 
Ninampa 5 Manny binadamu mashoga na lesbians ni zaidi ya wanyama,huu ni ujinga na dhambi kubwa kuendekeza uchafu huu uliokubuhu kwa kigezo cha maendeleo na haki za binadamu.....its not acceptable to any African Society,tuwaachie hawa Wazungu wajinga sana
 

Naomba utambue me nasimamia ukweli siku zote na ukweli unaniacha kua mtu huru na nitasema mbka vile vinavyohusu imani yangu ya kislam


Kuhusu kuitwa wembeee ni fake I'd sio jina langu la kweli
 
Nike ipo kibiashara imeona kwa kauli hiyo wasipochukua hatua wao ndio watapata hasara. Walichofanya ni kumtoa Manny then wao wanakuwa kwenye safe side
kweli, Nike wana mind business yao, sio itikadi za dini
 
Naomba utambue me nasimamia ukweli siku zote na ukweli unaniacha kua mtu huru na nitasema mbka vile vinavyohusu imani yangu ya kislam


Kuhusu kuitwa wembeee ni fake I'd sio jina langu la kweli
We km unautamani Uislamu si uingie tu.
Toka lini waislam waandika ki galatia galatia namna hii?
 
Man p hongera sana nimeamua kuwa mshabiki wako baada ya misimamo yako
 
Kweny CV siku hizi Wazungu hawataki uandike Marital status kama married or single wanataka uandike Sex orientation I.e uoneshe kama ni mfuasi wa mapenzi ya jinsia moja au jinsia mbili tofauti!
Dunia Imeshakata kona ya mwisho tunasubiri ifike kituoni tushuke!


Yaani juzi juzi tu nlikua najiuliza ila swali kuna mtandao mmoja wa uingereza nlikua najiunga, kwenye machaguzi ya jinsia wameweka

Male-female-other.

Nilishangaa iyo 'other' sana.
 
Hapo ndipo mjue ya kuwa makampuni,mabenki na baadhi ya wazungu ni mashaitwani! Kuna uhusiano gani kati ya ushoga na biashara? Hapo utapata jibu kuwa shaitwan ndo mmiliki wa hayo makampuni yanayotetea usenge
 
Duh tatizo sina uhakika kama hizi Nike merchandise ambazo natinga ni orijino ila ngoja na mimi niachane nao tu hakuna namna kama nilivyoacha kuangalia movie za mashoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…