Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hakuna mbara mwenye akili timamu atamchagua uchaguzi ukiwa huruHakuna hata haja ya kukimbia bali tunataka ashinde kihalali bila uporaji wa kura uliomiweka yeye na Magufuli hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mbara mwenye akili timamu atamchagua uchaguzi ukiwa huruHakuna hata haja ya kukimbia bali tunataka ashinde kihalali bila uporaji wa kura uliomiweka yeye na Magufuli hapo.
Mnapenda kukinga bakuliSafi! Tisha sana Uengereza achana na huyo mwamerika mubinafsi
Hatubaguani Mbara na Mvisiwani tunachotaka ni fairness.Hakuna mbara mwenye akili timamu atamchagua uchaguzi ukiwa huru
Nenda wewe Zanzibar ukagombee hata kwenye mtaa kama utaruhusiwaHatubaguani Mbara na Mvisiwani tunachotaka ni fairness.
Mdio maana nasema tunachotaka ni fairness ili Mwananchi wa taifa hili agombee popote pale kwenye Jamhuri.Nenda wewe Zanzibar ukagombee hata kwenye mtaa kama utaruhusiwa
Ahahahahaha! Umenikumbusha siku ile baada ya Uchaguzi Mkuu 2020 Lissu akaitisha maandamano ya kupinga matokeo, mwishowe alionekana yeye Lissu anaandamana akielekea airport huku Mabalozi wa Nchi za Ulaya wakimsindikiza! Ilinifurahisha sana!! Ahahahahaha!!!Hiyo ya UK na EU Lissu anaiweza, akisema KATA inakatwa.
Akili za kimasikini!! Muda wote kufikiria misaada tu!!Wakati Serikali ya Marekani chini ya Rais Donald Trump ikikata misaada yake kwa mataifa mengine, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Marianne Young, amesema nchi yake itaendelea kutoa misaada ya kimaendeleo na kibinadamu kama sehemu muhimu ya ushirikiano wa kimataifa.
Balozi Young amebainisha hayo wakati wa mahojiano maalumu na Mwananchi Jumatatu, Februari 17, 2025, akizungumzia athari za mabadiliko ya sera za kimataifa katika misaada ya kigeni. Ameangazia athari kwa Tanzania na jumuiya ya wafadhili wa kimataifa.
Tangu ameingia madarakani, Januari 20, mwaka huu, Trump alitia saini amri kadhaa za kiutendaji ikiwemo ya kusitisha kwa muda misaada ya kimataifa inayotolewa na shirika la USAID, jambo ambalo limesababisha mamia ya watu kupewa likizo ya bila malipo.
Akizungumzia uamuzi huo wa Marekani, amesema wanatambua Marekani imesitisha utoaji misaada hadi watakapofanya tathmini, hata hivyo amesema Serikali ya Uingereza itaendeleza dhamira yake thabiti ya kutoa misaada ya kimaendeleo na kibinadamu kama sehemu muhimu ya ushirikiano wa kimataifa.
View attachment 3240541
“Tunaamini kwamba hatua shirikishi kati ya washirika wa kimataifa ni muhimu kwa ajili ya kuendeleza viashiria muhimu vya maendeleo, ikiwa ni pamoja na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs),” alisema Balozi Young.
“Mbali na ufadhili huo, pia tunatumia fedha zinazotolewa na serikali kupitia uwekezaji wa kimataifa wa Uingereza, ambayo imekuwa mdau mkuu nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Kwa sasa, mfumo wetu una pauni 50 milioni (Sh655 bilioni), na tunalenga kuongeza hii maradufu hadi pauni milioni 200 katika miaka michache ijayo.
“Pia, tunazingatia kutumia fedha binafsi. Hili ni eneo muhimu ambapo serikali ya Uingereza inashirikiana kikamilifu na taasisi za kimataifa ili kuongeza msaada wa kifedha na kushughulikia upungufu wa ufadhili uliopo,” amesema.
Source: Mwananchi
Waarabu vipi wao wamesusa kutuletea misaada japo tumewapa bandari za tanganyika milele daima na Ngorongoro 🙄🙄🙄Wakati Serikali ya Marekani chini ya Rais Donald Trump ikikata misaada yake kwa mataifa mengine, Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Marianne Young, amesema nchi yake itaendelea kutoa misaada ya kimaendeleo na kibinadamu kama sehemu muhimu ya ushirikiano wa kimataifa.
Balozi Young amebainisha hayo wakati wa mahojiano maalumu na Mwananchi Jumatatu, Februari 17, 2025, akizungumzia athari za mabadiliko ya sera za kimataifa katika misaada ya kigeni. Ameangazia athari kwa Tanzania na jumuiya ya wafadhili wa kimataifa.
Tangu ameingia madarakani, Januari 20, mwaka huu, Trump alitia saini amri kadhaa za kiutendaji ikiwemo ya kusitisha kwa muda misaada ya kimataifa inayotolewa na shirika la USAID, jambo ambalo limesababisha mamia ya watu kupewa likizo ya bila malipo.
Akizungumzia uamuzi huo wa Marekani, amesema wanatambua Marekani imesitisha utoaji misaada hadi watakapofanya tathmini, hata hivyo amesema Serikali ya Uingereza itaendeleza dhamira yake thabiti ya kutoa misaada ya kimaendeleo na kibinadamu kama sehemu muhimu ya ushirikiano wa kimataifa.
View attachment 3240541
“Tunaamini kwamba hatua shirikishi kati ya washirika wa kimataifa ni muhimu kwa ajili ya kuendeleza viashiria muhimu vya maendeleo, ikiwa ni pamoja na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs),” alisema Balozi Young.
“Mbali na ufadhili huo, pia tunatumia fedha zinazotolewa na serikali kupitia uwekezaji wa kimataifa wa Uingereza, ambayo imekuwa mdau mkuu nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Kwa sasa, mfumo wetu una pauni 50 milioni (Sh655 bilioni), na tunalenga kuongeza hii maradufu hadi pauni milioni 200 katika miaka michache ijayo.
“Pia, tunazingatia kutumia fedha binafsi. Hili ni eneo muhimu ambapo serikali ya Uingereza inashirikiana kikamilifu na taasisi za kimataifa ili kuongeza msaada wa kifedha na kushughulikia upungufu wa ufadhili uliopo,” amesema.
Source: Mwananchi
Wazanzibar ni wabinafsi sn na wachoyo, pia wabaguzi haswaMdio maana nasema tunachotaka ni fairness ili Mwananchi wa taifa hili agombee popote pale kwenye Jamhuri.
Tusiwe na fikra FINYU sisi sote ni Watanzania tuache cheap politics za kubaguana ambazo ndizo zinazotumiwa na Mapropadgandist wa CCM.Wazanzibar ni wabinafsi sn na wachoyo, pia wabaguzi haswa
Hebu tuache ujinga, nenda wewe kama utapewa kitambulisho cha mkazi au unaweza kununua ardhi kule ama kugombea cheo chochoteTusiwe na fikra FINYU sisi sote ni Watanzania tuache cheap politics za kubaguana ambazo ndizo zinazotumiwa na Mapropadgandist wa CCM.
Sisi CHADEMA tuwe PanAfricans tufanye siasa za kuliunganisha Bara zima la Afrika ili tuwe Wamoja.
Ndio maana nikasema tunataka "fairness" ili Mtanzania agombee sehemu yoyote ya Jamhuri au anunue ardhi sehemu yeyote ya Jamhuri.Hebu tuache ujinga, nenda wewe kama utapewa kitambulisho cha mkazi au unaweza kununua ardhi kule ama kugombea cheo chochote
WeraaaaaHiyo ya UK na EU Lissu anaiweza, akisema KATA inakatwa.
Kwanza huu muungano fake uvunjwe harakaNdio maana nikasema tunataka "fairness" ili Mtanzania agombee sehemu yoyote ya Jamhuri au anunue ardhi sehemu yeyote ya Jamhuri.
Tunachotaka ni muungano wa Afrika nzima sio huu tu wa Tanganyika na Zanzibar.
Hapana sikubaliani na hilo, ila nakubaliana swala la kuuboresha muungano na ipatikane serikali na Bunge la Tanganyika.Kwanza huu muungano fake uvunjwe haraka
Hakuna maboresho uvunjwe kwanza tuanze upyaHapana sikubaliani na hilo ila nakubaliana swala la kuuboresha na ipatikane serikali na Bunge la Tanganyika.