Baada ya Marekani kusitisha misaada, Uingereza yaihakikishia Tanzania kuendelea kutoa misaada ya kimaendeleo

Hiyo ya UK na EU Lissu anaiweza, akisema KATA inakatwa.
Ahahahahaha! Umenikumbusha siku ile baada ya Uchaguzi Mkuu 2020 Lissu akaitisha maandamano ya kupinga matokeo, mwishowe alionekana yeye Lissu anaandamana akielekea airport huku Mabalozi wa Nchi za Ulaya wakimsindikiza! Ilinifurahisha sana!! Ahahahahaha!!!
 
Akili za kimasikini!! Muda wote kufikiria misaada tu!!

Nyie waswahili wa Pwani mnatupeleka kubaya!!
 
Waarabu vipi wao wamesusa kutuletea misaada japo tumewapa bandari za tanganyika milele daima na Ngorongoro 🙄🙄🙄
 
Wazanzibar ni wabinafsi sn na wachoyo, pia wabaguzi haswa
Tusiwe na fikra FINYU sisi sote ni Watanzania tuache cheap politics za kubaguana ambazo ndizo zinazotumiwa na Mapropadgandist wa CCM.

Sisi CHADEMA tuwe PanAfricans tufanye siasa za kuliunganisha Bara zima la Afrika ili tuwe Wamoja.
 
Akili za kimasikini!! Muda wote kufikiria misaada tu!!

Nyie waswahili wa Pwani mnatupeleka kubaya!!

Sadist.

Mi nimeleta taarifa wapi nime-endorse misaada?
 
Tusiwe na fikra FINYU sisi sote ni Watanzania tuache cheap politics za kubaguana ambazo ndizo zinazotumiwa na Mapropadgandist wa CCM.

Sisi CHADEMA tuwe PanAfricans tufanye siasa za kuliunganisha Bara zima la Afrika ili tuwe Wamoja.
Hebu tuache ujinga, nenda wewe kama utapewa kitambulisho cha mkazi au unaweza kununua ardhi kule ama kugombea cheo chochote
 
Ndio maana nikasema tunataka "fairness" ili Mtanzania agombee sehemu yoyote ya Jamhuri au anunue ardhi sehemu yeyote ya Jamhuri.

Tunachotaka ni muungano wa Afrika nzima sio huu tu wa Tanganyika na Zanzibar.
 
Kwanza huu muungano fake uvunjwe haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…