Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Kisa hiki hapa kachukua picha miradi mikubwa ya mabwawa ya umeme Ehiopia na Lesotho anadanganya kwenye posti zake kuwa ni mradi wa Stiegers Gorge Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari nimerekebieha nilikuwa busy kidogo kachukua picha za miradi ya mabwawa ya umeme Lesotho na Ethiopia anadanganya ni Stiegers Gorge ya Tanzania.Toa na maelezo mkuu mbona Kama unakimbizwa?
Huyo mchungaji Masanja kaumbuka vipi maana si kila mtu anamfuatilia kwenye page zake huko Instagramuni!
Wachungaji??? Mwamvuli tu ila ungejua whats happening behind the scenes usingeaminiJamaa ni boya sana. Mchungaji ni wa kupuuzwa tu
Sasa hapa nimeelewa
🙄🙄..kweli???!!Wachungaji??? Mwamvuli tu ila ungejua whats happening behind the scenes usingeamini