Baada ya Masanja kutumia picha za miradi ya Lesotho kuisifia Serikali ya awamu ya tano, Msemaji wa Serikali naye kaja na upotoshaji huu

Baada ya Masanja kutumia picha za miradi ya Lesotho kuisifia Serikali ya awamu ya tano, Msemaji wa Serikali naye kaja na upotoshaji huu

Huyu dada ni mkurupukaji tu kama viongozi wengi tu upinzani. Anajidadavua kama mwenyekiti wa BAVICHA TEMEKE.

Hapo Masanja kadanganya nini na wapi?
Hajasema imefikia hivyo lakini ukiangalia ile michoro yao, hivyo ndivyo bwawa litakavyoonekana.

Ukimuuliza huo umeme ukikamilika atapinga kuutumia? Siasa nyingine za kishenzi shezi tu.

Si aeleze mipango yao mbadala ya kutuletea umeme utakaokuwa na bei nafuu zaidi ya huo wa Rufiji?
Ila kwakuwa hakuna sera mbadala, kaamua amshambulie mtu binafsi.
 
Unaweza kuta mtoa Mada ndiye Masanja mwenyewe..

Sijawahi elewa hawa watu wana tija gani kwenye jamii hata kuanza kuwafuatilia.
Huwezi ukasema wewe ni YESU watu wakakuacha tu,uongo lazima ukosolewe na upingwe


Na kwanini CCM mnapenda kubadili gear angani,kwann mnahangaika sana?
 
Huyu dada ni mkurupukaji tu kama viongozi wengi tu upinzani. Anajidadavua kama mwenyekiti wa BAVICHA TEMEKE.

Hapo Masanja kadanganya nini na wapi?
Kasema imefikia hivyo lakini ukiangalia ile michoro yao, hivyo ndivyo bwawa litakavyoonekana.

Ukimuuliza huo umeme ukikamilika atapinga kuutumia? Siasa nyingine za kishenzi shezi tu.

Si aeleze mipango yao mbadala ya kuruletea umeme utakaokuwa na bei nafuu zaidi ya huo wa Rufiji?
Ila kwakuwa hakuna sera mbadala, kaamua amshambulie mtu binafsi.
Masanja ametoa credit ya source ya picha?
 
Hivi mleta mada na masanja nani muongo? Masanja katumia picha Kama kiwakilishi cha habari yake haku sema ndio pamefikia hapo au ndio penyewe

Ifikie kipindi muwe mnafikiria mambo vizuri sijui akili zenu mnapelekaga wapi yaani

Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
 
Jana mtu wa CCM anayejiita mchungaji wa Mungu, Masanja Mkandamizaji aliweka picha za mradi wa umeme wa maji huko Lesotho na kuuita wa Stiglers Gorge.
20200808_094551.jpg

Hiyo ndiyo picha ya Masanja ya jana.

Sasa leo msemaji mkuu wa serikali ameisifia serikali ya awamu ya tano kwa upanuzi wa kiwanda cha ASAS Dairies huku akiita kama juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuongeza ajira na unywaji wa maziwa nchini. Hiki ni kiwanda cha mtu binafsi na serikali haihusiki nacho kwa namna yoyote ile zaidi ya muwekezaji huyo kulipa kodi pale anapouza na kuagiza bidhaa. Kazi kweli kweli!
20200808_094447.jpg


Kwa siku za hivi karibuni msemaji mkuu wa serikali amekuwa akitoa takwimu za upotoshaji mkubwa hasa baada pia ya jana kuhutubia vyombo vya habari na kusema kuwa kutoka mwaka 2015 hadi mwaka 2020 pato la Tanzania limefikia shilingi za kitanzania TRILIONI 122.5! Sijui kwanini anajiita "Dokta" Hassan Abbas. Haelewi hata maana ya "TRILIONI"
 
Back
Top Bottom