Baada ya Masanja kutumia picha za miradi ya Lesotho kuisifia Serikali ya awamu ya tano, Msemaji wa Serikali naye kaja na upotoshaji huu

Asasi mwenyewe amekubali biashara yake iwe sehemu ya siasa kuanzia siasa za Iringa hadi za nchi nzima. Labda amejiandaa baada ya huyu anayemtumia akiondoka itakuwaje kwa biashara zake. Makosa makubwa sana kuhusisha biashara na siasa ya moja kwa moja.
Anafanya Yale anayoona yanafaida kwake.
Usimpangie mtu aliyekuzidi matumizi ya mtaji wake.
 
Jana mtu wa CCM anayejiita mchungaji wa Mungu, Masanja Mkandamizaji aliweka picha za mradi wa umeme wa maji huko Lesotho na kuuita wa Stiglers Gorge.
View attachment 1530629
Hiyo ndiyo picha ya Masanja ya jana.

Sasa leo msemaji mkuu wa serikali ameisifia serikali ya awamu ya tano kwa upanuzi wa kiwanda cha ASAS Dairies huku akiita kama juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuongeza ajira na unywaji wa maziwa nchini. Hiki ni kiwanda cha mtu binafsi na serikali haihusiki nacho kwa namna yoyote ile zaidi ya muwekezaji huyo kulipa kodi pale anapouza na kuagiza bidhaa. Kazi kweli kweli!
View attachment 1530634

Kwa siku za hivi karibuni msemaji mkuu wa serikali amekuwa akitoa takwimu za upotoshaji mkubwa hasa baada pia ya jana kuhutubia vyombo vya habari na kusema kuwa kutoka mwaka 2015 hadi mwaka 2020 pato la Tanzania limefikia shilingi za kitanzania TRILIONI 122.5! Sijui kwanini anajiita "Dokta" Hassan Abbas. Haelewi hata maana ya "TRILIONI"
Mengine watajibu wenzangu. Naomba nijikite kwenye kauli ya Dr. Abbas kuhusu ASAS, kwani kakosea wapi?

Serikali ya awamu ya tano pamoja na mambo mengine imeweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji was ndani kuwekeza kwenye Sekta mbalimbali ikiwemo kilimo na mifugo. Juzi niliwaeleza kuhusu juhudi za serikali ya awamu ya tano kwenye kilimo.

Kutokana na mazingira mazuri kiwanda kimeajiri watanzania na hivyo kushiriki katika kutatua changamoto ya ukosefu wa ajira nchini. Shida ya kuelewa iko wapi hapo?
 
Mkuu G Sam, kwa uelewa wako wa mambo yanavyo kwenda hapa nchini ulitegemea aseme nini juu ya mwajiri wake?

Ana watoto ana ndugu zake wanamtegemea kuwahudumia, naye anahitaji kuendelea kutanua na magari ya kifahari kwa gharama za serikali.
Jana mtu wa CCM anayejiita mchungaji wa Mungu, Masanja Mkandamizaji aliweka picha za mradi wa umeme wa maji huko Lesotho na kuuita wa Stiglers Gorge.
View attachment 1530629
Hiyo ndiyo picha ya Masanja ya jana.

Sasa leo msemaji mkuu wa serikali ameisifia serikali ya awamu ya tano kwa upanuzi wa kiwanda cha ASAS Dairies huku akiita kama juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuongeza ajira na unywaji wa maziwa nchini. Hiki ni kiwanda cha mtu binafsi na serikali haihusiki nacho kwa namna yoyote ile zaidi ya muwekezaji huyo kulipa kodi pale anapouza na kuagiza bidhaa. Kazi kweli kweli!
View attachment 1530634

Kwa siku za hivi karibuni msemaji mkuu wa serikali amekuwa akitoa takwimu za upotoshaji mkubwa hasa baada pia ya jana kuhutubia vyombo vya habari na kusema kuwa kutoka mwaka 2015 hadi mwaka 2020 pato la Tanzania limefikia shilingi za kitanzania TRILIONI 122.5! Sijui kwanini anajiita "Dokta" Hassan Abbas. Haelewi hata maana ya "TRILIONI"
 
Pato kufikia TR125 na budget ya mwaka ni tofauti kumbe, kweli uchumi wa kati huu
 
Mwigulu ni mtu wa kumsamehe bure maana baada ya kupigwa chini aliishi maisha magumu sana.

Alipigwa chini bila ya kutegemea hivyo hata hakujiandaa ndiyo maana akaona turufu yake ya mwisho kunusuru maisha yake ni kujikomba hata kwa uongo.
Mwigulu Nchemba aliwahi kupost picha za Reli za Kenya na kudai ni za Tanzania.... Kuna thread nilianzisha kumkanusha
 
Matumaini yao ya kupata ushindi wa mezani yameyeyuka kama ice cube iwapo juani
Hiyo Ni serikali ya wanyonge acha wanyonge wanyongwe.

Kwa kiasi flani Kama viongozi wa juu wa serikali wamepanic nashindwa kuwaelewa wanahofu nini.

Walikua na Imani kubwa ya ushindi Ila Saiz naona imepungua.
 
Ukitaka kuishi maisha ya peponi basi sifia Kwa style yeyote Ile na utakula mema ya nchi
 
Hivi huyo jamaa ni mwenyeji wa wapi mkuu labda tuanzie hapo, inawezekana ni dodoma!
Shida ni moja kwa Abbas, yeye sio mtaalamu na wala hana uelewa wowote na mambo ya uchumi, halafu anajibu maswali ya kiuchumi kichwa kichwa.

Yaani Abbas ameonyesha ni mweupe kichwani sijawahi kuona.
 
Jana mtu wa CCM anayejiita mchungaji wa Mungu, Masanja Mkandamizaji aliweka picha za mradi wa umeme wa maji huko Lesotho na kuuita wa Stiglers Gorge.
View attachment 1530629
Hiyo ndiyo picha ya Masanja ya jana.

Sasa leo msemaji mkuu wa serikali ameisifia serikali ya awamu ya tano kwa upanuzi wa kiwanda cha ASAS Dairies huku akiita kama juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuongeza ajira na unywaji wa maziwa nchini. Hiki ni kiwanda cha mtu binafsi na serikali haihusiki nacho kwa namna yoyote ile zaidi ya muwekezaji huyo kulipa kodi pale anapouza na kuagiza bidhaa. Kazi kweli kweli!
View attachment 1530634

Kwa siku za hivi karibuni msemaji mkuu wa serikali amekuwa akitoa takwimu za upotoshaji mkubwa hasa baada pia ya jana kuhutubia vyombo vya habari na kusema kuwa kutoka mwaka 2015 hadi mwaka 2020 pato la Tanzania limefikia shilingi za kitanzania TRILIONI 122.5! Sijui kwanini anajiita "Dokta" Hassan Abbas. Haelewi hata maana ya "TRILIONI"
Nikajua na ASAS nao wako Lesotho! Pumbafu kwel ww
 
Ana fanya biashara gani mkuu?
Asasi mwenyewe amekubali biashara yake iwe sehemu ya siasa kuanzia siasa za Iringa hadi za nchi nzima. Labda amejiandaa baada ya huyu anayemtumia akiondoka itakuwaje kwa biashara zake. Makosa makubwa sana kuhusisha biashara na siasa ya moja kwa moja.
 
Asasi mwenyewe amekubali biashara yake iwe sehemu ya siasa kuanzia siasa za Iringa hadi za nchi nzima. Labda amejiandaa baada ya huyu anayemtumia akiondoka itakuwaje kwa biashara zake. Makosa makubwa sana kuhusisha biashara na siasa ya moja kwa moja.
Naye anaunga mkono juhudi au CCM Mpya wamemshinikiza akubaliane wafanye kama waliyomfanyia Dillo na StarTV post 2015?Hakika hawa jamaa hawashindwi na jambo lolote(Refer wakulima wa korosho) wanasemekana wamesaidiwa ununuzi wa korosho zao kwa shangazi zao kupigwa.
 
Back
Top Bottom