Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Tayari nimerekebieha nilikuwa busy kidogo kachukua picha za miradi ya mabwawa ya umeme Lesotho na Ethiopia anadanganya ni Stiegers Gorge ya Tanzania.Toa na maelezo mkuu mbona Kama unakimbizwa?
Huyo mchungaji Masanja kaumbuka vipi maana si kila mtu anamfuatilia kwenye page zake huko Instagramuni!
Wachungaji??? Mwamvuli tu ila ungejua whats happening behind the scenes usingeaminiJamaa ni boya sana. Mchungaji ni wa kupuuzwa tu
Sasa hapa nimeelewa
ππ..kweli???!!Wachungaji??? Mwamvuli tu ila ungejua whats happening behind the scenes usingeamini