Baada ya Masanja kutumia picha za miradi ya Lesotho kuisifia Serikali ya awamu ya tano, Msemaji wa Serikali naye kaja na upotoshaji huu

Masanja anajua haraka yake na sababu zilizomfanya aposti aliyoposti kwenye page yake. Hajamwambia mtu aiangalie au amfuatilie. Yaani ametumia uhuru wake wa kujiexpress kufanya ile kitu roho yake inapenda. Kwanini muumie wengine?
 
Hakuna anayeumia bali anaambiwa aache upotoshaji wa kipuuzi. Kama hakutaka watu waangalie, angeiweka kwenye hiyo single room yake anayoishi.
 
Ahsante nashukuru kwa taarifa
 
Ww ndio mkurupukaji, soma vizuri uelewe
 
Sasa huyo si comedian jamani?.
Alichopost ni comedy ya swali la uhalisia wa kitu, watu wakamdandia kana kwamba kilichopostiwa ni halisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe ni picha ya yatarajiwayo.
Ni sawa sawa na yeye kumuuliza aliyeko Dodoma "mji mkuu wa Tanzania ni Chamwino? na yeye kujibu ndio kwa kuwa ndiko Ikulu inapojengwa ""
Sema kosa la Masanja ni kupost kipindi hiki, angelisubili April Mosi Mwakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…